Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Ni kwenye ndevu tu?
 
Kwa mtu aliyepo Dom aniPM nimuoneshe dawa ya asili,hakika mimi imebaki story baada ya kuitumia
 
Nilisoma sehemu kuwa wazazi wengi wa kiume hawawaelekezi watoto wao wa kiume namna ya kunyoa ndevu kukwepa hayo 'mapele'. Inawezekana walio wengi wanafikiri ni kawaida kupata mapele baada ya kunyoa ndevu, na unyowaji wa ndevu ni simple. Baada ya kusoma na kufuata kilichoandikwa bila mwanzo kujua the grain (pattern) ya ndevu zinavyoota na kupata matokeo mazuri baada ya kuwa nanyoa kuelekea shingoni yaani unaanzia kwenye kidevu kwenda kwenye shingo mpaka kwenye throat (kolomeo) kama ilivyoelekezwa sehemu niliyosoma kwani huo ndio uelekeo wa ndevu zinavyoota. Ukinyoa against the grain inakula kwako! Ila niliendelea kutumia shaving gel na shaving gadgets na wala sio shaving machine ila kwa ku-shave along the right grain na mambo ni super.

Video hii inaongelea maana na namna ya kujua the grain of beard.

 
Nipo dom sehemu gan zinapatikana?

Unatakiwa kunyoa kufuata uelekeo wa ndevu zinavyoota (along the grain). Hiyo dawa ni sawa na kutibu frequently badala ya kukinga tatizo for good.
 
ni tatizo letu sote ila lina tatulika mkuu kabisa mkuu uwa na2mia poda fulani ina dawa napewaga na mnigeria ipo safi cku izi ata c2mii cana kama vp nipm 2saidiane mkuu
Mkuu ungeweka hadhani hili tatizo tunalo wengi hata mimi naitafuta sana hyo dawa
 
Hakikisha unatumia wembe mpya kunyoa. Wembe butu husababisha kutoka vipele. Pia kuna dawa inaitwa After shave, inatumika sana kwenye salon za kiume, jaribu kutumia.
 
Nashauri dawa moja kwenye kikopo kidogo cheupe inaitwa Neo Medrol hii ni komesha ya mapele ndevu.
 
BAADA YA KUNYOA.

Aloe Gentlemen's Aftershave. Ni jibu la Tatizo.

Wengi wetu tunanyoa.
Wanaume wananyoa ndevu na sehemu za siri kama wanawake.

Wengi tunasumbuliwa na muwasho ambao mara nyingine unakera, au kukutoa vipele vipele na kuondoa smoothness ya ngozi yako. Baada ya kunyoa.

Nina aftershave safi sana siyo na kilevi (alcohol free) inanukia vizuri, haina kemikali hatarishi na imewafaa wengi sana.

Inazuia vipele kutokea, hupati muwasho, haikakamazi ngozi yako na inakubali ngozi nyingi sana.

Ina aloe vera. Yaani imepoa haichomi ndio maana inafaa hata kama umenyoa Sehemu ya siri.

Nitafute Kaka/Dada kwa aftershave nakuletea Mahali ulipo.
+255 719 700 745.


 
Na pengine si Ndevu tu, kuna Mapele ya Kwapa ama Huko kwingine tunakonyoa, bado bidhaa hii Itakusaidia.
 
Na kama ukinyoa unatoka mapele, ndio uache kutumia viwembe,

Tumieni Magic powder au Veet, n.k.
 
Kaka naipata vile hiyo dawa
 
Hii tunaipataje mkuu?
 
Kunyoa Mara kwa Mara kunachangia kwa kiasi kikubwa kutokwa na vipers...pumzusha kidevu japo Mara mbili kwa kuachia ndevu....zaidi baafa ya kutoka kunyoa fanya kujikanda na Maji vuguvugu kidevuni na seven zote za USO ulizonyoa hakika itasaidia kwa kiasi flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…