Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwenye ndevu tu?Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa, nimejaribu aftershave nyingi tu lakini naona bado hazijanikubali.
Kwa sasa hivi nilikuwa natumia aftershave iitwayo Bump Patrol!
Nipo dom sehemu gan zinapatikana?Kwa mtu aliyepo Dom aniPM nimuoneshe dawa ya asili,hakika mimi imebaki story baada ya kuitumia
Nipo dom sehemu gan zinapatikana?
Mkuu ungeweka hadhani hili tatizo tunalo wengi hata mimi naitafuta sana hyo dawani tatizo letu sote ila lina tatulika mkuu kabisa mkuu uwa na2mia poda fulani ina dawa napewaga na mnigeria ipo safi cku izi ata c2mii cana kama vp nipm 2saidiane mkuu
Na pengine si Ndevu tu, kuna Mapele ya Kwapa ama Huko kwingine tunakonyoa, bado bidhaa hii Itakusaidia.BAADA YA KUNYOA.
Aloe Gentlemen's Aftershave. Ni jibu la Tatizo.
Wengi wetu tunanyoa.
Wanaume wananyoa ndevu na sehemu za siri kama wanawake.
Wengi tunasumbuliwa na muwasho ambao mara nyingine unakera, au kukutoa vipele vipele na kuondoa smoothness ya ngozi yako. Baada ya kunyoa.
Nina aftershave safi sana siyo na kilevi (alcohol free) inanukia vizuri, haina kemikali hatarishi na imewafaa wengi sana.
Inazuia vipele kutokea, hupati muwasho, haikakamazi ngozi yako na inakubali ngozi nyingi sana.
Ina aloe vera. Yaani imepoa haichomi ndio maana inafaa hata kama umenyoa Sehemu ya siri.
Nitafute Kaka/Dada kwa aftershave nakuletea Mahali ulipo.
+255 719 700 745.
![]()
Kaka naipata vile hiyo dawaKuna mtu alikuwa na vidonda wala si vipele,nkamshauri sana atumie dawa flani kunyolea akawa mbishi eti atapata kansa ya ngozi. Aliporudi kwao Karatu mzee wake akaogopa na kumkimbiza hosp. ,cha ajabu dokta alimueleza kuwa anachubua ngozi wakati wa kunyoa ivo ndevu zikianza kuota zinasabisha infection ndo maana ana vipele! Dr.akamwandikia dawa ile ile niliyomwandikia akanyolee,fasta akavuta cm kantwangia akiwa na dk.yule dk akanieleza ile kitu na nkamwambia dr kuwa dogo mbishi nshamdirect,dogo akaja mpaka magomen dar nkampeleka pale niliponunua,leo ni mwezi wa 5 tangu atulie,na ukimwona leo utadhani hajawahi kuwa na kipele,handsome. Mi siipost hapa najua kuna wabishi wengi,atakaetaja aniPM. Siku njema.
Hii tunaipataje mkuu?Mkuu unatumia wembe ? kama unatumia wembe acha tumia mashine kama wanazotumia vinyozi. baada hapo pakaza B&C SKIN TIGHT ni kiboko hii kesho yake tu ukiamka utaona tofauti.endelea siku mbili tatu vitapotea kabisa acha kutumia siku ukikata ndevu tena pakaza kidogo hivyo hivyo na utaona tofauti yake.