Babuu Rogger
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 1,529
- 1,119
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Paka mafuta ya rays
Ziachie haina haja ya kunyoaWadau mambo vipi , ? Kidevu changu naona kinakomaa na kinatoaa vipelee, nanyoaa kwa wiki mara mojaa, nitumiee mafuta gani kulainishaaa, ? nina miaka 24, aaf mweupee, kidevu kinaharibu mwonekano wangu! Msaada wa USHAURI tafadhari.
Harafu mademu wanapenda kidevu kigumu kama makoko ya pilau ....wanavilove balaaZiachie haina haja ya kunyoa
Nenda kwa wataalamu wa ngozi wakuambie ngozi yako ni aina gani na utumie nini.sijawahi nyoa na wembe
Nenda soloon waambie wakunyoe kwa kutumia magic...Wadau mambo vipi , ? Kidevu changu naona kinakomaa na kinatoaa vipelee, nanyoaa kwa wiki mara mojaa, nitumiee mafuta gani kulainishaaa, ? nina miaka 24, aaf mweupee, kidevu kinaharibu mwonekano wangu! Msaada wa USHAURI tafadhari.
PAKAA MAFUTA YA MCHAICHAI(ORGANIC LEMON GRASS OIL)Wadau mambo vipi , ? Kidevu changu naona kinakomaa na kinatoaa vipelee, nanyoaa kwa wiki mara mojaa, nitumiee mafuta gani kulainishaaa, ? nina miaka 24, aaf mweupee, kidevu kinaharibu mwonekano wangu! Msaada wa USHAURI tafadhari.