maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,415
- 3,213
Ungeweka majina ya products ungekua umetusaidia sanaShaving lotion zote zinapiga hii kitu,na vizuri uanze na aftershave then utumie hiyo shaving cream,ONYO kwa sehemu za siri hiyo after shave sina uhakika kama inakubalika kiafya kuitumia,kwani ina alcohol kwahiyo ujiandae kwa maumivu wakati ikifanya kazi,hasa kama utaweka nyingi na kuifanya iporomoke kuelekea chini...
Mkuu naomba uweke picha ya iyo dawa, hili ni janga kwangu.Pole sana ndugu yangu. Hilo tatizo si la peke yako, Hata mimi nilipata taabu hiyo.
Kwanza niligundua vipele vinatokana na nyuwele kutopata chance ya kutoka nje, Yaani inakulia ndani ya ngozi, halafu infection.
Sasa dawa amabayo nina uhakika, na imenisaidia inaitwa BUMP STOPPER, Kuna aina mbili, mmoja ni kali, BUMP STOPPERS-2 ukipata hiyo anza na hiyo,
kwanza wacha ndevu siote kwa siku kama nne au tano, yaani ngozi ipumzike, basi ukisha nyoa tu, apply hiyo cream, na utumia kila siku. siku za mwanzo kila unapo oga, uvimbe ukisha potea unaweza tumia kila asubuhi unapoteka bafuni.
Hii cream sio kwamba inatibu mmoja kwa mmoja bali inabidi utumie kila unapo shave.
Sasa tatizo kubwa ni sijui kama inapatikana Tanzania,
Dah ni mda sijaitumia hiyo dawa, kwa sasa Nina tumia aina nyingi ya majimaji na ni ya kupulizia.Mkuu naomba uweke picha ya iyo dawa, hili ni janga kwangu.
ndio hii mkuu nimeiona online unaweza order kama una visa au mastercarxd katika ATM card yakoKuna hii inaitwa Calmurid cream, sina uhakika na availability yake hapo bongo lakini is effective na resuls is just in a day or two, lakini unatakiwa kuendelea kuitumia kama utaendelea kunyolea wembe!
shukrani sana1. Tumia Magic powder kutolea,
2. Nunua mashine yako uwe unanyolea kama hua unaenda saluni lakini pia paka poda wakati unaanza kunyoa na ukimaliza kunyoa na kujisafisha paka mafuta ya nazi asilia.
3. Nyoa ndevu kutoka kwenye maoteo kufatisha zinapoelekea usinyoe kinyume chake.
Good Luck.
Nanyolea saloon kawaidaUnatumia nini kunyoa