Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Mkuu kumbe citrus ya lemon ni sabun makin sana? Natumia sana hii kuogea, ila sijui faida ake.
 
Bump solution mi nshatumia Sana lakn tatzo lipo pale pale tena nlikua sinunui mtaani nkawa nanunua S.H AMON
 
m
Naombeni msaada jinsi ya kumaliza vipere vidonda na chunus kwenye ndevu na shingo nateseka sana had kibaya
mimi nilisumbuliwa sana na mapele ya ndevu kipindi cha nyuma.. nimetumia kila aina ya ushauri.. niliwah pia kuomba ushauri hapa
ila sasa hvi vipele vimekuwa historia kabisa kwangu.

Hii imekwisha baaada ya kuanza kunyoa mwenyewe mara kwa mara... kila baada ya siku 2 ninanyoa kwa Magic..
kidevu kimekuwa kilaini kama cha mtoto mchanga. ushauri jitahidi uwe unanyoa ndevu kila baada ya siku mbili..
jaribu kutumia magic vilevile
 
Hatua ya kwanza kanyoe saluni kwa kutumia magic then ukihisi ndevu zinachomoza nyoa kwa kupaka shaving cream tumia shaver then paka after shave fanya hivyo kila unapohisi ndevu zinaanza kuchomoza usisubiri ndevu zikue
Ushauri wako ndo umenimaliza kabisa yaani vimeota Mara mbili zaidi mkuu m uwasho mda wote
 
Naomba picha au model ya iyo mashine.
 
Habar wanajamvi..nmekua nikitokwa na mapele kila baada ya kunyoa ndevu...na vimekua vkiwasha je nawez kutumia njia gani ili kuzuia au kuondoa kabisa tatzo hili?
 
Me tangu nimeanza kunyoa ndevu sijawahi kutumia kiwembe wala mashine huwa ni mkasi tu, kidevu bado kibichiiii.
 
Dawa nzuri chukua mkojo wa punda changanya na kinyesi cha mbwa then koroga ukimaliza kunyoa ndevu paka halafu kaa saa nzima juani baada ya hapo osha kidevu kwa maji ya uvuguvugu tatizo litaisha ndugu
 
Pole sana...

1. Usirudie nyembe...

2. Usinyolee nyembe zile za mia mia za bei rahisi go for Gillette...

3. Tumia after shave...


Cc: mahondaw
 
Eeh na rafiki yangu kidevu chake kimekua kigumu kweli kwa sabab ya kunyoa ndevu..atumie nini kusolve iyo shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…