Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Wazee ninashida kubwa nimewaza mengi sana nina watoto watatu vinginevyo sioni umuhimu wa maisha naomba workable solution sio jokes,
nakuomba unisaidie maana wakati unavyosonga ndio nachanganyikiwa zaidi
 
muda mwingine ka huna cha kuchangia bora kukaa kimya tu sio mradi tu nawe ujaze wingi wa post.

Haiyumkini mzee wa rubisi ushauri wako ni kama wa kibwetere! Kama umepiga ulabu yawezekana ni chimpumu ila NO! We ni zero brain!
Kaka nakushauri utumie vyakula kama tende, halua, korosho, pia uwe na utaratibu wa kunywa maji mengi.
 
Hayo ndio madhara ya punyeto. Inaonekana ulianza mapema kwa sababu yamekupata bado ungali kijana. Anyway, Google is your best friend. Jaribu kutafuta makala yanaoongelea kuhusu mazoezi ya Kegel (kuongeza nguvu za mishipa ya mboo).

Unaweza kuanzia hapa: Kegel Exercises For Men

Na pia huo mchezo wako wa kupiga punyeto tafadhali uache kabisaa. Ninakupa ushauri kwa wadhifa wangu kama mzee (gwiji) aliyehitimu!
 
Kula matikiti maji., yanasaidia sana..inshort kula sana matunda na mboga za majani .
 
usinywe pombe ya aina yeyote ili senses zako zote uwe nazo, fanya mazoezi ya kegel kama walivyoshauri. dawa dawa kama vega huwezi kuzitegemea maishani kwani inavyoelekea huna kilema cha kuzaliwa could be psychological kwani inaelekea mama badala ya kuwa mpole na mwenye ushirikiano badala yake anakubomokea - huenda anafikiri mzigo umeutua mahala kabla hujamuona na badala yake unampa danganya toto.
 
Nimekuwa na tatizo la kukojoa ndani ya ****** mawili tu nikiingiza mboo,kitendo hiki kimekuwa namkera sana mke wangu...
Unahitaji kwenda shule kwa hili. Kwanza inaonekana unafanya mambo yako kwa pupa na hii inakuathiri kisaikolojia. Swala sio kuingiza ukuni tu na kukojoa. Jaribu kumtayarisha mke wako kwa kutumia vitendea kazi vingine kama vile ulimi au vidole, kwa mfano. Foreplay is also important. Huyo mke wako anaweza kuridhika hata kwa mabao mawili kama unajua namna ya kuyafunga!
 
Kaka we nenda kwa wataamu wa kiafya hasa hospitali...tatizo lako ni la NEVA tu utasaidiwa tu na pia nakupa pole sana.
 
Haina mbaya jombaa me ntakusaidia hapo kwa wife, ni2mie number zake plz
 
Sababu 9 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiume

Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.

TIBA YAKE:
chukua mbegu za tikiti maji zikaange halafu zitwange ili zitoe unga, chukua juici ya kitunguu thaumu lita moja na asali lita moja changanya pamoja juisi ya kitunguu thaumu na asali weka na vijiko kumi vikubwa vya unga wa tikiti maji koroga vizuri na uwe unakunya dawa hii kikombe kimoja cha kahawa mara tatu kila siku kwa muda wa wiki moja.

Chanzo: Mzizimkavu

 
mazoezi hayo yanawafaa wazungu au wasio na tatizo kabisa
 

we tuache ambao bado tuna nguvu tuendelee kufanya shughuli hizo wewe pumzika kaka au unaonaje?
 
we tuache ambao bado tuna nguvu tuendelee kufanya shughuli hizo wewe pumzika kaka au unaonaje?
Kwa nini nipumzike wakati ukuni bado unadisa. Unahakika kwamba bado una nguvu? Wenye nguvu wa ukweli hawatambi kama ufanyavyo.

Huyo jamaa kaomba tumpe ushauri na ndivyo hivyo tunatakiwa tufanye, na sio vinginevyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…