Dr Luu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 489
- 386
Call 0711 553 826.Wakuu mi nikipiga kimoja kurudia tena inakua kazi msaada jamn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Call 0711 553 826.Wakuu mi nikipiga kimoja kurudia tena inakua kazi msaada jamn
Kamanda kitambo sana mkongwe mwezanguDawa nzuri ni lishe tu. kula mlo kamili, matund ana mboga mboga kama kawaida. pata muda wa kutosha kupumzika. epuka sigara na kunywa pombe kwa kiasi kama mywaji.
Soma main topic afreshWakuu mi nikipiga kimoja kurudia tena inakua kazi msaada jamn
Food rich in selenium is supposed to increase testosterone levels in the male body. Studies suggest that males who consume cashew in their balanced diet are supposed to have better testosterone levels than the people not consuming cashew in a healthy manner (high level ya testosterone ina ongeza LIBIDO na Sperm count)Kuongeza mbegu za kiume:
Kula sana korosho but they are expensive,
To improve your natural performance:
Kula na kunywa supu ya pweza kwa sana if possible three times@week.
Mengine kama yepiSio kweli mkuu...
Sema mengine siwezi nikayaandika hapa..🙈
Wakuu msaada wenu mninasue nnimgonjwa wa mda mrefu wa thyroids hyperthyroidsm nko kwenye dawa takribani miaka2.5
Sasa kama miezi2 nyuma hisia zimekua zikipotea sana ya kusimamisha kufanya tendo wapi uume inasimama inalala nkifanikiwa inalala humo ukeni.
Sasa nimekua mgonjwa wa bawasiri mda mrefu pia madonda ya tumbo..namwezi mmoja nyuma nimepima mafuta nna cholesterol imepanda kidogo, wakuu nisaidieni nin nifanye kuinusuru ndoa yangu,nateseka mawazo yanazid mke akitaka unakua nahofu kubwa
Msaada wenu unahitajika
Pole sana.
Tatizo la hyperthyroidism huwa na madhara mengi mojawapo ikiwa ni hilo la kupungua kwa hamu ya tendo (reduced libido)/upungufu wa nguvu za kiume, ugumba (kwa mwanamke) nk.
Kutokana na sumu zinatokana na hilo tatizo la hyperthyroidism kuwa juu uzalishaji wa homoni za zinahusika na kuleta msisimko/hamu na uwezo wa kufanya tendo hufifishwa au kupotea kabisa hivyo mgonjwa hupata tatizo hilo la kushindwa kushiriki tendo ipasavyo na kwa wanawake husababisha ugumba.
Pamoja na kuzingatia matumizi ya dawa kwa ajili ya tatizo la hyperthyroidism ni muhimu pia daktari wako akakupima kiwango cha mafuta kwenye damu (cholesterol) na homoni walau kila baada ya miezi mitatu ili kusaidia kupunguza hali hiyo. Pia ni muhimu ukazingatia mlo kamili.
Kila la kheri.
[/QUOTEKama wiki moja nyuma nimepima cholesterol Ile ldl Ipo juu kidgo ..mlo kamili kama upi natakiwa kula nin hivi kwa mtu wa hyperthyroidsm Kuna vyakula anatakiwa kula ambavyo hatakiwi kula...vip nifanyeje kupunguza cholesterol...navip naruhusiwa kufunga kwa mtu wa ugonjwa hyperthyroidsm kufunga kula Kuna madhara yoyotePole sana.
Tatizo la hyperthyroidism huwa na madhara mengi mojawapo ikiwa ni hilo la kupungua kwa hamu ya tendo (reduced libido)/upungufu wa nguvu za kiume, ugumba (kwa mwanamke) nk.
Kutokana na sumu zinatokana na hilo tatizo la hyperthyroidism kuwa juu uzalishaji wa homoni za zinahusika na kuleta msisimko/hamu na uwezo wa kufanya tendo hufifishwa au kupotea kabisa hivyo mgonjwa hupata tatizo hilo la kushindwa kushiriki tendo ipasavyo na kwa wanawake husababisha ugumba.
Pamoja na kuzingatia matumizi ya dawa kwa ajili ya tatizo la hyperthyroidism ni muhimu pia daktari wako akakupima kiwango cha mafuta kwenye damu (cholesterol) na homoni walau kila baada ya miezi mitatu ili kusaidia kupunguza hali hiyo. Pia ni muhimu ukazingatia mlo kamili.
Kila la kheri.
Pole sana.
Tatizo la hyperthyroidism huwa na madhara mengi mojawapo ikiwa ni hilo la kupungua kwa hamu ya tendo (reduced libido)/upungufu wa nguvu za kiume, ugumba (kwa mwanamke) nk.
Kutokana na sumu zinatokana na hilo tatizo la hyperthyroidism kuwa juu uzalishaji wa homoni za zinahusika na kuleta msisimko/hamu na uwezo wa kufanya tendo hufifishwa au kupotea kabisa hivyo mgonjwa hupata tatizo hilo la kushindwa kushiriki tendo ipasavyo na kwa wanawake husababisha ugumba.
Pamoja na kuzingatia matumizi ya dawa kwa ajili ya tatizo la hyperthyroidism ni muhimu pia daktari wako akakupima kiwango cha mafuta kwenye damu (cholesterol) na homoni walau kila baada ya miezi mitatu ili kusaidia kupunguza hali hiyo. Pia ni muhimu ukazingatia mlo kamili.
Kila la kheri.
Mkuu kama wiki moja nyuma nlipima cholestorole Ile LDL ipo juu vip nifanyaje kupunguza hiyo cholestorole,,vip kwa mgonjwa wahyperthyroidsm Kuna vyakula anaruhusiwa kula na ambavyo haruhusiwi kula,na vip swala la kufunga ramadhani kwa mgonjwa wa hyperthyroidsm Kuna weza mfanya ugonjwa ukazidiPole sana.
Tatizo la hyperthyroidism huwa na madhara mengi mojawapo ikiwa ni hilo la kupungua kwa hamu ya tendo (reduced libido)/upungufu wa nguvu za kiume, ugumba (kwa mwanamke) nk.
Kutokana na sumu zinatokana na hilo tatizo la hyperthyroidism kuwa juu uzalishaji wa homoni za zinahusika na kuleta msisimko/hamu na uwezo wa kufanya tendo hufifishwa au kupotea kabisa hivyo mgonjwa hupata tatizo hilo la kushindwa kushiriki tendo ipasavyo na kwa wanawake husababisha ugumba.
Pamoja na kuzingatia matumizi ya dawa kwa ajili ya tatizo la hyperthyroidism ni muhimu pia daktari wako akakupima kiwango cha mafuta kwenye damu (cholesterol) na homoni walau kila baada ya miezi mitatu ili kusaidia kupunguza hali hiyo. Pia ni muhimu ukazingatia mlo kamili.
Kila la kheri.
Mkuu kama wiki moja nyuma nlipima cholestorole Ile LDL ipo juu vip nifanyaje kupunguza hiyo cholestorole,,vip kwa mgonjwa wahyperthyroidsm Kuna vyakula anaruhusiwa kula na ambavyo haruhusiwi kula,na vip swala la kufunga ramadhani kwa mgonjwa wa hyperthyroidsm Kuna weza mfanya ugonjwa ukazidi
Mkuu kwa cholesterol kuwa juu naweza kutumia korosho,maana mim huwa napenda kula korosho sana.Pole sana.
Nafikiri mfungo kwa upande wa wagonjwa huwa ni tofauti kidogo. Kama hali yako sio mbaya sana unaweza kufunga.
Kwa viwango vya juu vya LDL cha kufanya ni kuhakikisha unatumia vyakula vyenye wanga kiasi na pengine pamoja na dawa kama kutakuwa na uhitaji wake.
Kila la kheri.
Mkuu kwa cholesterol kuwa juu naweza kutumia korosho,maana mim huwa napenda kula korosho sana.