common sense
Stress na madeni imekua visingizio sana kwa wasemaji na madokta wengi huanza na kusema hivyo, tuambiane ukweli.
Tuonge ukweli uko na pisikali shepu la maana alafu mpo faragha hizo stress na madeni unaanzaje kuvikumbuka aisee. Labda uwe umechoka kwa kazi ngumu au umefiwa, tofauti na hapo ni ugonjwa.
Jibu
Unatatizo kwenye mfumo wako wa uzazi. Concetration of zinc oxide cause cell erosion (mucus) on prostate gland and Corpus spongiosum (erection tissue) of penis and other places in the system it clog the system, pre ejaculation and impotence are results of erosion. Food we takes ndio chanzo, tuko kwenye ulimwengu wakibiashara; afya sio priority. Western foods ndio imekua lifestyle kwa waafrica na vyakula vyetu tumevipiga teke.
Solution
Badili mlo wako achana na machipsi na nyama n.k badala yake kula vyakula
hivi. Pata matibabu kwa wataalamu wa afya wa tiba asili wakuaminika.
Na katika matibabu ya kweli lazima huanze na kusafisha mwili mzima kabla yakuanza na kutibu sasa eneo husika, tatizo la watoa tiba hukimbilia moja kwa moja eneo lenye tatizo bila kuzingatia kua mwili ni mfumo.
Sugestions
Kama huko Moshi naweza kukusaidia, au tafuta tabibu aliye karibu yako.
Tahadhari
Utumiaji wa madawa ya kusisimua misuli kama Viagra, kama sutra, nk. Ni hatari kwa afya yako kwa ujumla inaweza leta matizo ya moyo, figo, ini na parmanent damage of tissues in reproduction system.
Chukua tahadhari na soma descriptions na side effects kama ndio maamuzi ulio amua kuchukua.
Dr. Luu