Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

kaka fafanua vzur

Nimekubaliana na hivyo vyakula walivyokushauri wadau hivyo nikaongezea pia uwe vizuri kisaikojia kwani unaweza ukapata msosi mzuri unaotakiwa lakini kama kisaikolojia utakuwa disturbed utashangaa hali haibadiliki. Si unajua mwili unaendeshwa na gland mbalimbali ambazo zinasaidia kutoa vitu ambavyo vinasaidia ku-speed up utendaji kazi wa vitu mbalimbali mwilini, hivyo hutokuwa vizuri kisaikolojia maana yake hizi gland hazitatoa vichocheo muhimu. (sio mtaalamu wa haya mambo ila hii hali pia wakati mwingine inachangia)
 
m2 wngu hali mbay mana naona cku hz bao 2 nmechoka et

Tatizo linaweza lisiwe tu katika upande wako mkuu, muda mwingine ushirikiano mbovu unaopewa na mpenzi wako unameza ukakufanya usiwe na hamu ya kuendelea

Halafu ukawa na mawazo wenda unatatizo la upungufu wa nguvu au mambo mengine kama hayo, kumbe hapana.

Nakushauri utafute kwanza chanzo cha kuwa na hiyo hali, ukikigundua ndio hatua zingine zifuate.
 

nimekupata kaka thnk u
 
Karanga mbichi, korosho, maziwa fresh na mtindi jaribu mkuu utaona mabadiliko
 

mia mia kaka nimekupata
 
Tafuna vutunguu saumu na vitunguu maji,tikiti maji na mbegu zake tafuna usiziteme,tangawizi kwa sana,karafuu.mbona wengi e wanapiga hako kamoja tu wanaridhika na hawaoni tabu wewe mbili unalalamika unataka ungoe hapo
 
Waone wazee wakuchimbie mizizi, SUPER SHAFT, GONGO, na zingine zingine, dozi moja ya glasi BAAAAAAS! Sema ukioverdose waweza kujikuta wakimbiwa na mke atiii!
 
sasa akiapply hiz dawa zote si mwenzeny atakimbiwa ndani jamani?
nguvu za kuime mkuu zinapotea au kumpungua kwa saabu nyingi mojawapo ikiwemo aina ya vyakula
lakini ukweli ulio wazi ni kwamba uwezo wa kijinsia yako unategemea sana na aina ya maisha aliyonayo
angalia unaishi maisha ya aina gani,unayatazama maisha,kwako mafanikio yana tafsiri ipi?
unaamini kiasi gani katika ridhiko la kihisia?
la muhimu sio umepiga ngapi kaka,la muhimu ni hizo ngapi umezipiga vipi!kwanza bao nyingi kwa mara moja unajizeesha !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…