Mh.....Jini mahaba kumbe hua anawatembelea wale unao du nao...Sikujua..ntaenda kwa Sheikh Sharifu majini akanifanyie Dua
alienitongoza vizuri nikashindwa kukataaa...ALAFU ALIKUA MZURI SANA..nilikua nataka kumuacha myluv nibaki nae ..ila Tabia zake hazijaniridhishaSasa ulichepuka ili iweje...inaoneka we ni mlafi hautosheki.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naogopa kuchepuka myluv ataniacha...ila ntakufikiriaChepuka tena,alafu angalia itakuwaje..NB;mchepuko nipo hapa nipo tayari kwa majaribio.[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
May be ana tatizo la kiafya hasa depression,kwakuwa haumpendi na ni mchepuko Tafuta mchepuko mwingine. Mchepuko ku-underpeform na huku hana kitu kingine cha ku-offer huo ni mzigo,Fanya usajiri mpya msimu huu wa CoronaMh..sidhani Kama Ni kunizoea .maana anakosa amani Hana Raha mi MAWAZO TU...japokua simpendi namuonea hurumaa Sana.. tangu Dec Hadi Leo haendi dakika 2 kamwaga Napo mboo ipo legelege...zamani alikua vizuri nikiri sikuwai kuenjoy Kama nilivyo enjoy na huyu mchepuko.
Sent using Jamii Forums mobile app
We endelea kuchepuka utakipata unacho kitaka.alienitongoza vizuri nikashindwa kukataaa...ALAFU ALIKUA MZURI SANA..nilikua nataka kumuacha myluv nibaki nae ..ila Tabia zake hazijaniridhisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Si utafute mwingine tu kwani wanaume wameisha? Kazi ipo haki ya nani [emoji16][emoji16][emoji16]
Nina mwanaume NAmpenda Sana ila kwa bed sio mzuri Sana yupo mediocre.
So nikamua kuwa na mchepuko, huyu mchepuko alikua vizuri Sana...mwanaume mashine., Lahuala Tangu January kapoteza nguzu za kiume...hawezi Tena Kama zamani.. kwakweli nimepatwa na msiba mkubwa Sana...
Nimefanya kila namna kumrudiasha katika ubora wake lakini imeshindikana...imebidi nibaki na my love wangu.
Ushauri wa kurudisha nguvu za kiume.
Sent using Jamii Forums mobile app
#Hakuepukiki broSafari ni ndefu sana Bro na ni ya milima na Mabonde na inahitaji kuwa na utayari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Hakuepukiki bro
Kama wanawake wenyewe ndo hawa; Mungu Awasaidie sana mtakapoanza kutafuta wake wa kuishi nao mpaka kifo !!!
Sasa akikuacha tatizo lipo wapi kama mwenyewe unasema hawezi kukuridhisha?Naogopa myluv atajua halafu ataniacha. Maana kashasema akijua nachepuka ananiacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nae malalamiko yamezidiNina mwanaume NAmpenda Sana ila kwa bed sio mzuri Sana yupo mediocre.
So nikamua kuwa na mchepuko, huyu mchepuko alikua vizuri Sana...mwanaume mashine., Lahuala Tangu January kapoteza nguzu za kiume...hawezi Tena Kama zamani.. kwakweli nimepatwa na msiba mkubwa Sana...
Nimefanya kila namna kumrudiasha katika ubora wake lakini imeshindikana...imebidi nibaki na my love wangu.
Ushauri wa kurudisha nguvu za kiume.
Sent using Jamii Forums mobile app