Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Chukua mizizi ya migomba isafishe kisha ichemshe kama maji uliweka Lita 3 yachemke mpaka yafikie Lita 2 baada yahapo subiri kizaga kipoe kisha piga robo Lita asubuhi na jioni alafu unipe mrejesho baada ya wiki mbili siitaji malipo ila ukipona ukapenda kunipa kahongera ni PM
 
Ivi mnajua mtu mwenye stress au wasiwasi au msongo wa mawazo hasimamishi hata kwa fimbo?

Kama hujatulia usifanye haya mambo utaainika.

Ndio maana haya mambo yanatokea zaidi kwenye ndoa kwa sababu wanawake ni vinara vya kuwapa stress wanaume.

Mwanaume mwenye stress hata siku moja hawezi cheza match vizuri.
 
Pole sana aisee dakika moja chali na wanawake wenyewe siku hizi tuna nguvu nyingii[emoji23][emoji23]
Fanya mazoezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake hawa wa kienyeji balaa. kitu imemea sugu, balaa wasugu lisaa limoja mtu akuangalia kama hujafanya lolote

Afadhali turudie wale wa grade.....mpige bao mmoja la nguvu dakika 30 , usikie hizo "oh my god...."
 
GODZILLA, [emoji23][emoji23]

Sex is a two way thing. Ukijijali wewe tu utakuwa selfish ingawa bado umesema ukweli. Sex is overrated sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauwezi kutosheleza mtu.

Kila mtu na atosheke pale anapofika kikomo.

Ngono huwa haitoshelezi. Utafanya kila siku na hautatosheka hata ukojoe kama ngisi! Utataka tena na tena.

Usipoangalia utakuwa mtumwa wa ngono na mwisho wake ni MAUTI na FEDHEHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…