Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
- Thread starter
-
- #81
Mbona umesmile[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kwahiyo muda mwingi unakuwa unasoma au unajipikilisha?Muda mwingi uwa nakuwa sifanyi kazi.....sasa huko kuchoka kunatokea wapi
Kwa sasa nimeshamaliza kusoma babu......kuna muda unakuwa upo tu umekaa hauna cha kufanyaKwahiyo muda mwingi unakuwa unasoma au unajipikilisha?
Thanks dear
Sawa nitajitahidi kufanya hivoPunguza kunywa soda pia kunywa maji mengi nilikuwa na hilo tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi njoo huku shambani kwangu Bunju tulime matikiti na matango. Yakitokea ya malovebites tunamwachia shetani aamueKwa sasa nimeshamaliza kusoma babu......kuna muda unakuwa upo tu umekaa hauna cha kufanya
Okay babu yangu itabidi nije huko nikusaidie kulimaBasi njoo huku shambani kwangu Bunju tulime matikiti na matango. Yakitokea ya malovebites tunamwachia shetani aamue
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Tayari mimba.Mamboz!
Kuna kipindi nilikuwa nakosa usingizi naweza kulala sa 7 nikaamka saa 12 ila kwa sasa nimekuwa ni mtu wa kulala sana na kila muda nasikia usingizi.....
Je,hili ni tatizo au hali ya kawaida?
Kutokufanya muda mrefu kumesababisha usinzie.Tatizo silijui......na hicho ulichoniambia nikapime sina coz sijafanya hivo kwa muda mrefu
Are you sure?Tayari mimba.
SawaKutokufanya muda mrefu kumesababisha usinzie.
Fanya. Fanya. Fanya! Ufanyizwe utapona ugonjwa huo.
I'm just guessing. If not, take easy Curious gal.Are you sure?
Nipo okay usijali....I'm just guessing. If not, take easy Curious gal.
Karibu tukutane Leo usiku wa manane.
Kwa wale tunaokosa usingizi usiku hukutana kupiga story.Nipo okay usijali....
Usiku wa manane ndo wapi tena
Okay nashukuru sana kwa ukarimu wakoKwa wale tunaokosa usingizi usiku hukutana kupiga story.
Kwa kuwa wewe unasinzia sana, jukwaa hilo litaku keep busy. Karibu mpendwa.
Haya leta mrejesho. Umesinzia?Okay nashukuru sana kwa ukarimu wako