Tatizo la usingizi

Tatizo la usingizi

Mamboz!
Kuna kipindi nilikuwa nakosa usingizi naweza kulala sa 7 nikaamka saa 12 ila kwa sasa nimekuwa ni mtu wa kulala sana na kila muda nasikia usingizi.....
Je,hili ni tatizo au hali ya kawaida?
Tayari mimba.
 
Tatizo silijui......na hicho ulichoniambia nikapime sina coz sijafanya hivo kwa muda mrefu
Kutokufanya muda mrefu kumesababisha usinzie.
Fanya. Fanya. Fanya! Ufanyizwe utapona ugonjwa huo.
 
Nipo okay usijali....
Usiku wa manane ndo wapi tena
Kwa wale tunaokosa usingizi usiku hukutana kupiga story.
Kwa kuwa wewe unasinzia sana, jukwaa hilo litaku keep busy. Karibu mpendwa.
 
Back
Top Bottom