Tatizo la usingizi

Tatizo la usingizi

ndio vizuri jizoeshe...unalala saa 3/4 unaamka saa 12 au saa 1 ndio muda mzuri au majukum yako ni yapi..yanahitaji kudamka mapema

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Kwa sasa sifanyi kazi ndo kwanza nimemaliza mwaka wa kwanza wa masters yangu
 
Ile hali ikirudi tena, karibu kule kwenye uzi wetu wa "j.f usiku wa manane"
 
....labda uliumwa na Mbung'o wakakupa ugonjwa wa kusikia kulala kila dakika. Wahi hospitali lakini uwe mwangalifu wasikupe dawa za kukufanya ushindwe kulala kabisa. Hili la kukosa kulala kwa kutokuwa na usingizi ni tatizo kubwa sana kuliko hili la kutaka kulala kila saa.

Mamboz!
Kuna kipindi nilikuwa nakosa usingizi naweza kulala sa 7 nikaamka saa 12 ila kwa sasa nimekuwa ni mtu wa kulala sana na kila muda nasikia usingizi.....
Je,hili ni tatizo au hali ya kawaida?
 
hauko peke yako dada mi mwenyewe ninalo hilo tatizo hasa nikiwa peke yangu huwa ndo ugonjwa wangu hasa. na pia saizi mchana napenda sana kulala sijui kwa nini. ila nilikuja kugundua ni mazingira tu ndo yana changia mda mwingine. ila zamani siwezi lala bila kunywa hata ki**ba ila saizi aaaa nimeokoka na usingizi uko japo ugonjwa una rudigi same time
 
....labda uliumwa na Mbung'o wakakupa ugonjwa wa kusikia kulala kila dakika. Wahi hospitali lakini uwe mwangalifu wasikupe dawa za kukufanya ushindwe kulala kabisa. Hili la kukosa kulala kwa kutokuwa na usingizi ni tatizo kubwa sana kuliko hili la kutaka kulala kila saa.
La kukosa kulala limeshaisha......sasa hivi napenda kulala
 
hauko peke yako dada mi mwenyewe ninalo hilo tatizo hasa nikiwa peke yangu huwa ndo ugonjwa wangu hasa. na pia saizi mchana napenda sana kulala sijui kwa nini. ila nilikuja kugundua ni mazingira tu ndo yana changia mda mwingine. ila zamani siwezi lala bila kunywa hata ki**ba ila saizi aaaa nimeokoka na usingizi uko japo ugonjwa una rudigi same time
Kumbe tupo wengi
 
Back
Top Bottom