Tatizo la uume kulala wakati wa baridi

sintah

Senior Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
187
Reaction score
190
Jamani hii imeshakuwa shida sasamwaka jana nlikuwa njombe kikazi babyto akasema anataka kuja wakati wa pasaka nkamruhusu lakini alivyokuja uumr wake ulismama ile siku ya kwanza tuu siku zilizofata ikawa unasmama lakini auna nguvu yaan hata haiwezi kuingia tatizo hilohilo nimekutana nalo nikiwa mafinga sasa nikaona tatizo itakuwa baridi lakini naomba mnijuze kwanza wanajamvi
 
hali ya hewa ya balidi haihusiani na tatizo lako wewe mwenyewe
 
Hiyo mkuu ni opposite wengine sisi kwenye baridi inasimama usiku kucha
 
Masikini pole, kuna mdada pia alishawahi kunambia nkajua fix tu
dushe ya mme wake haisimamagi yani inakuwa kama inashtuka shtuka
kwahiyo ikishtuka ndo inasimama wanakimbia ndani kufanya
muda mwengine inasimama kuna wageni anamuita wife fasta wanakimbia chumbani kabla haijalala
 
Huyo ana tatizo la kisaikolojia kwa sababu ilishawahi kumtokea mara ya kwanza basi kila mnapokutana anawaza kuwa labda nitashindwa tena na matokeo yake ni kushindwa, unachotakiwa ni kumsaidia inapotokea hali hiyo na sio kumlaumu


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 

Hahahahahahaa.. Huyo jamaa ana matatizo mshauri atafute mkuyati.
 

hahaha sasa haya si mateso bila chuki
 
hilo tatizo hamna cha baridi ama jotoo!!asione aibuu!
 
Hili tatizo linakuwa ni kubwa sasa hivi..sijui nini..wataalam wa afya embu tusaidieni
 

Mmmmmh
 
tuwekee picha tuone ili tutoa ushauri ..... ila mwambie atafune ngongorya au Kola nut na karanga ni balaa
 

Wengi hapa wanasema baridi inaboost ila si kwa wote, kuna wengine kwenye baridi gemu hawaiwezi kabisa baridi inatesa sana!! Njoo kwenye hali ya hewa ya joto joto utakimbiza papuchi yako unaambiwa.
 

Haahahahaaaaa! mambo mengine kama maigizo jamani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…