Tatizo la uume kulala wakati wa baridi

Tatizo la uume kulala wakati wa baridi

Waliowengi wanasema baridi inasababisha dushelele iwe ngumu kama fimbo ya maasai

Wengi hapa wanasema baridi inaboost ila si kwa wote, kuna wengine kwenye baridi gemu hawaiwezi kabisa baridi inatesa sana!! Njoo kwenye hali ya hewa ya joto joto utakimbiza papuchi yako unaambiwa.
 
Walio wengi but me nakwambia si kwa wote! Wengine baridi hawaliwezi kabisa, kuna factors nyingi za kuifanya dushe kuwa imara mojawapo ni mazingira. Kama mwili haupo comfortable kwenye baridi dushe litakuwa vipi imara??
 
Wengi hapa wanasema baridi inaboost ila si kwa wote, kuna wengine kwenye baridi gemu hawaiwezi kabisa baridi inatesa sana!! Njoo kwenye hali ya hewa ya joto joto utakimbiza papuchi yako unaambiwa.

Yah wengi mishipa ya ngiri huwa unawanyong'onyeza wakati wa baridi.
 
Jamani hii imeshakuwa shida sasamwaka jana nlikuwa njombe kikazi babyto akasema anataka kuja wakati wa pasaka nkamruhusu lakini alivyokuja dushelele lake lilismama ile siku ya kwanza tuu siku zilizofata ikawa inasmama lakini haina nguvu yaan hata haiwezi kuingia tatizo hilohilo nimekutana nalo nikiwa mafinga sasa nikaona tatizo itakuwa baridi lakini naomba mnijuze kwanza wanajamvi

Mwambie aipashe kwenye jiko la gesi.
 
Tatizo ninalo liona hapo hakuna uhamasishaji. Wanawake wengi ni wavivu na sio wabunifu hata kidogo. Hata gari ya kawaida ikigoma kuwaka kuna mambo yanafanyika, kusukuma, kutia maji ktk betri kubust, au kugonga gonga terminal za betri kuondoa carbon
Sawa wanawake jukumu hilo hamlifanyi. Haumaaidii jamaa kuamka. Mfanyie visa vituko vya mahaba, mshike shike kamata mike foka! Gusanisha teminal ( kichwa na mashav suguasugua! Ngoma lazima isimame
 
Ni baridi tu?
Isije kuwa ndio kabati linamuangukia hivyo
 
Jamani hii imeshakuwa shida sasamwaka jana nlikuwa njombe kikazi babyto akasema anataka kuja wakati wa pasaka nkamruhusu lakini alivyokuja dushelele lake lilismama ile siku ya kwanza tuu siku zilizofata ikawa inasmama lakini haina nguvu yaan hata haiwezi kuingia tatizo hilohilo nimekutana nalo nikiwa mafinga sasa nikaona tatizo itakuwa baridi lakini naomba mnijuze kwanza wanajamvi

Yawezekana bado anapiga Puli huyo. Mchunguze
 
Inategemea kama baridi ni kali sana na mtu yuko nje sio sehem enclosed...hali hiyo ni kawaida...ila kama mtu imejificha kwenye kijoto hali ni tofauti...otherwise muone dakitari
 
Mafinga kuna baridi kuliko Alaska au Ukraine ambako bado watu wanasimamisha madushelele yao?

Ongea na mmeo mkamuoje daktari;baridi haiwezi zuia dushe kusimaka
 
Mara nyingini hutegemea na mwili wamtu kwenye kipindi cha barida na milii mingine huwa kipindi cha bardi ndo huwa imara zaidi kuliko kipindi cha joto
 
Jamani hii imeshakuwa shida sasamwaka jana nlikuwa njombe kikazi babyto akasema anataka kuja wakati wa pasaka nkamruhusu lakini alivyokuja dushelele lake lilismama ile siku ya kwanza tuu siku zilizofata ikawa inasmama lakini haina nguvu yaan hata haiwezi kuingia tatizo hilohilo nimekutana nalo nikiwa mafinga sasa nikaona tatizo itakuwa baridi lakini naomba mnijuze kwanza wanajamvi
Kama issue ni baridi na jamaa hawezi kufanya kazi itakuwa nia maajabu maana huko Mafinga kama sijakosea ndio kunaongoza kwa maambukizi ya HIV, sasa sijui maambukizi yatakuwa yanatokana na nini.
 
Huyo ana tatizo kwenye baridi dushe hua halilalii banaaa
 
me nahisi hakuna uhusiano hapo yani baridi haihusiani kabisaaaaa mimi naishi iringa saiv baridi la kutosha lakini mechi inapigwa kama kawa
 
Masikini pole, kuna mdada pia alishawahi kunambia nkajua fix tu
dushe ya mme wake haisimamagi yani inakuwa kama inashtuka shtuka
kwahiyo ikishtuka ndo inasimama wanakimbia ndani kufanya
muda mwengine inasimama kuna wageni anamuita wife fasta wanakimbia chumbani kabla haijalala

mmh hayo mateso jmn!
 
Huyo atakuwa na aina fulani ya kisukari.
 
Back
Top Bottom