miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
mimi nimekuambia tumalize mwaka pale mikahawani ww umenikimbia kumbe umekuja huku?
Haya nakujajamani tuendelee kule mikahawani aya twende wewe umekimbia alafu naliwa na wadudu tu basi njoo
Haya nakuja
Kaoe utatua matatizo yote.
View attachment 129583kama hivi au?
Mkuu uwezo wa kuoa bado sijakuwa nao, afu kuanzia kesho umeme unapanda ujue
Unataka kuolewa?
Chunguza kushoto kunanini,kama mmea ukipindia mahali kwenye mwanga tunasema phototropisim,au ukifuata maji tunasema hydrotropism.sasa huo uume inaweza kuwa ni pussytropisim.
Ushauri; nunua rula ya mbao funga na kitambaa kuunyoosha
Ukweli ni kwamba, mwili wa binadamu upande w KUSHOTO HAUKO katika uwiano sawa ki-sambamba (PARALLEL) na KULIA. Kwasababu moyo umelalia upande w KUSHOTO kwahiyo viungo vya upande huo havijakaa sawia na vya KULIA, hii husababisha mapafu, utumbo na uume kushuka chini kidogo (ukilinganisha na KULIA) kuupa nafasi moyo.
Kwahiyo kusababisha uume kupinda kuelekea KUSHOTO ambayo ni kawaida na pia uume unavyozidi kuwa mrefu ndivyo unavyoonekana umepinda zaidi.
siyo kupigwa kuna suruali mnazoziita model zinaonyeshga midudu yenu ilivyopinda haha haha
Hapa kwenye red umeshajieleza miss chagga. Congrats for having funmbona mingi imeenda upande........... lakini hata ukichungulia kwenye suruali zao unaona au wakitoka kuoga wamejifunga taulo hehehehehehe..... jaribu kuchungulia wenzio uone ni kwawida sana