Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Du, JF haishii vituko. Anyway as per experience, dushelele nyingi huwa zinapinda kutokana na jinsi unavyoiweka hasa hasa ikisimama ili isionekane na watu.

Mfano me nilikuwa na tabia ya kuielekezea chini au kushoto hasa hasa wakati niko sekondari ili ikienda mnara isionekane... little did I know kumbe nilikuwa natengeneza kilema but No worries.
 
Muone Mzizimkavu utanyooka kama nguzo za umeme grid ya taifa. Hata hivyo pole sana mkuu.
 
Chunguza kushoto kunanini,kama mmea ukipindia mahali kwenye mwanga tunasema phototropisim,au ukifuata maji tunasema hydrotropism.sasa huo uume inaweza kuwa ni pussytropisim.

Ushauri; nunua rula ya mbao funga na kitambaa kuunyoosha

:becky:
 
Ukweli ni kwamba, mwili wa binadamu upande w KUSHOTO HAUKO katika uwiano sawa ki-sambamba (PARALLEL) na KULIA. Kwasababu moyo umelalia upande w KUSHOTO kwahiyo viungo vya upande huo havijakaa sawia na vya KULIA, hii husababisha mapafu, utumbo na uume kushuka chini kidogo (ukilinganisha na KULIA) kuupa nafasi moyo.

Kwahiyo kusababisha uume kupinda kuelekea KUSHOTO ambayo ni kawaida na pia uume unavyozidi kuwa mrefu ndivyo unavyoonekana umepinda zaidi.
 
hope kaelewa
 
mbona mingi imeenda upande........... lakini hata ukichungulia kwenye suruali zao unaona au wakitoka kuoga wamejifunga taulo hehehehehehe..... jaribu kuchungulia wenzio uone ni kwawida sana
Hapa kwenye red umeshajieleza miss chagga. Congrats for having fun
 
Kama kutahiri kunasababisha Mzee wa Kazi kupinda, vipi Kwa wanawake wanaokeketwa? Wao nao zile nanii zinapinda?
 
Dah watu wako tofauti. Wenzio wanalilia usimame wewe unalalamika?

Subiri ulale moja kwa moja sasa.
 
nilijua umekatika kumbe umepinda tu..... haaaahaaaa haaa nikwambie kitu unapinda kwa sababu unavaa sana chupi wewe unaubana upande mmoja huzionagi za wazungu kwenye x wewe
 
Back
Top Bottom