pole mwaya nadhani ni kawaida uume kupinda ama kushoto au kulia au juu ai chini kulingana na maumbile kama ungesoma boarding ungechungulia wenzio ungejua ila hiyo ni kwa mujibu wa mwl wang wa biology wanaozimiliki ndo watakua na msaada zaid kwa kukuthibitishia.pole mwaya ika sidhani kama ni tatizo
mashine iko vyema kijana... cha msing inasimama popote itapenya...
ha ha ha, okey, eti hawa wakina dada wanapenda mwanaume aliyechomekea kwa kisingizio cha unadhifu lakini, lengo lao ni kuangalia maumbile ya kiume. kwani inakuwa rahisi kwa wao kukisia saizi ya mzigo alionao huyo mticha wa kiume, na wao huwa wanapendelea kukaa mbelembele karibu na ubao, ili wasipitwe. wako sensitive sana na eneo lenye mali hasa pale ambapo inatokea kwa bahati mbaya mticha amezidisha swaga za kufundisha akichanganya na ma-gesticulation ya kutosha kisha mzigo unashake shake anapo move to and from. ndio maana eti wengi wanatabia ya kupenda kuwatongoza maticha kiaina aftermath.
pia kuna tabia ya wao kupenda kumtizama mwanaume kwa nyuma, hasa anapoinama wanakuwa makini sana hapa, eti wanaangalia viuno vya kazi. vitu vingine vinavyohusishwa wanadai mikono, kucha za wanaume, kifua, sura pia ina-mata sana kwani hapa wanaweza kukupenda hata kama we ni bogus katika ufundishaji.
the same to you too. am appriciateha ha ha oh mama i learn a lot thanks God to have u
the same to you too. am appriciate
Wakuu
Umri wangu ni miaka 24, nimechelewa sana kufanya tohara, nimetahiriwa miezi mitatu iliopita , tangu nifanye tohara naona kuna mabadiliko mengi, kwanza uume umeongezeka urefu, pili unasimama dede Mara kwa mara na kwa muda mrefu hadi nahisi maumivu na tatu umepinda kushoto.
Kwa unyenyekevu naomba Msaada wenu
mbona mingi imeenda upande........... lakini hata ukichungulia kwenye suruali zao unaona au wakitoka kuoga wamejifunga taulo hehehehehehe..... jaribu kuchungulia wenzio uone ni kwawida sana
miss chaga ushaanza, umejuaje mingi imeenda upande?
mimi mkubwa nimekula chumvi nyingi na nimeona mengi pia
mengi yapi, ya kupinda kushoto au?
ya kupinda kusoto , kulia kaskazini kusini yaliyonyooka ni balaaa
weweeeeeeeeeeee
Unashangilia nini?
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app