ha ha ha, okey, eti hawa wakina dada wanapenda mwanaume aliyechomekea kwa kisingizio cha unadhifu lakini, lengo lao ni kuangalia maumbile ya kiume. kwani inakuwa rahisi kwa wao kukisia saizi ya mzigo alionao huyo mticha wa kiume, na wao huwa wanapendelea kukaa mbelembele karibu na ubao, ili wasipitwe. wako sensitive sana na eneo lenye mali hasa pale ambapo inatokea kwa bahati mbaya mticha amezidisha swaga za kufundisha akichanganya na ma-gesticulation ya kutosha kisha mzigo unashake shake anapo move to and from. ndio maana eti wengi wanatabia ya kupenda kuwatongoza maticha kiaina aftermath.
pia kuna tabia ya wao kupenda kumtizama mwanaume kwa nyuma, hasa anapoinama wanakuwa makini sana hapa, eti wanaangalia viuno vya kazi. vitu vingine vinavyohusishwa wanadai mikono, kucha za wanaume, kifua, sura pia ina-mata sana kwani hapa wanaweza kukupenda hata kama we ni bogus katika ufundishaji.