Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

pole mwaya nadhani ni kawaida uume kupinda ama kushoto au kulia au juu ai chini kulingana na maumbile kama ungesoma boarding ungechungulia wenzio ungejua ila hiyo ni kwa mujibu wa mwl wang wa biology wanaozimiliki ndo watakua na msaada zaid kwa kukuthibitishia.pole mwaya ika sidhani kama ni tatizo

Asante ameline
 
ha ha ha, okey, eti hawa wakina dada wanapenda mwanaume aliyechomekea kwa kisingizio cha unadhifu lakini, lengo lao ni kuangalia maumbile ya kiume. kwani inakuwa rahisi kwa wao kukisia saizi ya mzigo alionao huyo mticha wa kiume, na wao huwa wanapendelea kukaa mbelembele karibu na ubao, ili wasipitwe. wako sensitive sana na eneo lenye mali hasa pale ambapo inatokea kwa bahati mbaya mticha amezidisha swaga za kufundisha akichanganya na ma-gesticulation ya kutosha kisha mzigo unashake shake anapo move to and from. ndio maana eti wengi wanatabia ya kupenda kuwatongoza maticha kiaina aftermath.

pia kuna tabia ya wao kupenda kumtizama mwanaume kwa nyuma, hasa anapoinama wanakuwa makini sana hapa, eti wanaangalia viuno vya kazi. vitu vingine vinavyohusishwa wanadai mikono, kucha za wanaume, kifua, sura pia ina-mata sana kwani hapa wanaweza kukupenda hata kama we ni bogus katika ufundishaji.

ha ha ha oh mama i learn a lot thanks God to have u
 
mkuu kama unasimama na unafanya kazi kama kawaida basi ondoa shaka hiyo haina shida yoyote
 
Wakuu

Umri wangu ni miaka 24, nimechelewa sana kufanya tohara, nimetahiriwa miezi mitatu iliopita , tangu nifanye tohara naona kuna mabadiliko mengi, kwanza uume umeongezeka urefu, pili unasimama dede Mara kwa mara na kwa muda mrefu hadi nahisi maumivu na tatu umepinda kushoto.
Kwa unyenyekevu naomba Msaada wenu

ila unapga kazi
 
mbona mingi imeenda upande........... lakini hata ukichungulia kwenye suruali zao unaona au wakitoka kuoga wamejifunga taulo hehehehehehe..... jaribu kuchungulia wenzio uone ni kwawida sana

miss chaga ushaanza, umejuaje mingi imeenda upande?
 
Pole sana mkuu.
Huo Mdushee wako utakua umeteguka. Wahi MOI haraka wakaufunge POP kabla haujakatika kabisa.
 
Jamani naombeni msaada wenu, nina UUME yenye nchi 7.6 na ikisimama wima inapinda kuelekea kushoto, kila nikifanya mapenzi akina dada wanalalamika kusikia maumivu. Jamani nifanyeje
 
una 7.6 halafu bado unauita uume?!..khaa hapana bhana unakosea..sema una SMG mpyaaaaaaaaa unaifanyia matangazo hapa!....
 
Back
Top Bottom