princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chunguza kushoto kunanini,kama mmea ukipindia mahali kwenye mwanga tunasema phototropisim,au ukifuata maji tunasema hydrotropism.sasa huo uume inaweza kuwa ni pussytropisim.
Ushauri; nunua rula ya mbao funga na kitambaa kuunyoosha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] atafaliki mkuuUroweke ktk mafuta ya taa kwa masaa 24,ukitoka hapo uweke ktk maji ya moto au mafuta moto changanya na chumvi na pili pili kichaa kidogo utanyooka tu wenyewe
Unashangaa kusimama wakati huo ndo uanaume??? Hayo mengine wahi hospital ..Wakuu
Umri wangu ni miaka 24, nimechelewa sana kufanya tohara, nimetahiriwa miezi mitatu iliopita , tangu nifanye tohara naona kuna mabadiliko mengi, kwanza uume umeongezeka urefu, pili unasimama dede Mara kwa mara na kwa muda mrefu hadi nahisi maumivu na tatu umepinda kushoto.
Kwa unyenyekevu naomba Msaada wenu
aisee naona umekwisha Fanya research nyingi sana miss chaga hongera sana.mbona mingi imeenda upande........... lakini hata ukichungulia kwenye suruali zao unaona au wakitoka kuoga wamejifunga taulo hehehehehehe..... jaribu kuchungulia wenzio uone ni kwawida sana
Upo makini sana kuangalia sehem pendwa[emoji24] [emoji24] [emoji24]siyo kupigwa kuna suruali mnazoziita model zinaonyeshga midudu yenu ilivyopinda haha haha
Wee nanii ishanyooka au bado..??Wakuu