Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Chunguza kushoto kunanini,kama mmea ukipindia mahali kwenye mwanga tunasema phototropisim,au ukifuata maji tunasema hydrotropism.sasa huo uume inaweza kuwa ni pussytropisim.

Ushauri; nunua rula ya mbao funga na kitambaa kuunyoosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uroweke ktk mafuta ya taa kwa masaa 24,ukitoka hapo uweke ktk maji ya moto au mafuta moto changanya na chumvi na pili pili kichaa kidogo utanyooka tu wenyewe
 
Usiogope kijana kawaida tu, ondoa khofu, ila angalia usibake tu, utafungwa
 
Uroweke ktk mafuta ya taa kwa masaa 24,ukitoka hapo uweke ktk maji ya moto au mafuta moto changanya na chumvi na pili pili kichaa kidogo utanyooka tu wenyewe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] atafaliki mkuu
 
Wakuu

Umri wangu ni miaka 24, nimechelewa sana kufanya tohara, nimetahiriwa miezi mitatu iliopita , tangu nifanye tohara naona kuna mabadiliko mengi, kwanza uume umeongezeka urefu, pili unasimama dede Mara kwa mara na kwa muda mrefu hadi nahisi maumivu na tatu umepinda kushoto.
Kwa unyenyekevu naomba Msaada wenu
Unashangaa kusimama wakati huo ndo uanaume??? Hayo mengine wahi hospital ..
 
Inaweza kuwa boxer tu ndio imepindisha, pia tafuta mafuta ya rodva yanauzwa kama elfu ishirini na tano hivi yananyoosha uume au kukuza kama unahisi unakibamia
 
mbona mingi imeenda upande........... lakini hata ukichungulia kwenye suruali zao unaona au wakitoka kuoga wamejifunga taulo hehehehehehe..... jaribu kuchungulia wenzio uone ni kwawida sana
aisee naona umekwisha Fanya research nyingi sana miss chaga hongera sana.
 
Kama imepinda kushoto, Kulia yote gheri sasa usiombe ipindie kwenda Chini [emoji533] [emoji527] [emoji529]
Ata inyanyuke vp bado itakua doro
 
Wakuu

Umri wangu ni miaka 24, nimechelewa sana kufanya tohara, nimetahiriwa miezi mitatu iliopita , tangu nifanye tohara naona kuna mabadiliko mengi, kwanza uume umeongezeka urefu, pili unasimama dede Mara kwa mara na kwa muda mrefu hadi nahisi maumivu na tatu umepinda kushoto.
Kwa unyenyekevu naomba Msaada wenu
Wee nanii ishanyooka au bado..??
 
Ukikua utaona ni jambo la kawaida kutokea katika mazingira tofauti japo hauvunjiki!
 
Kila Uume unaposimama (wenyewe mnaita Kudinda) basi ama utachukua mwelekeo ambapo una weza Kudindia sana Mashariki au unaweza Kudindia sana Magharibi na hakuna siku ambayo Uume unasimama (Unadinda) kwa kusimama katikati.

Hii inatokana na nini?
 
Mazingira zinapotunzwa haparuhus kunyoooka...
 
Kama zimepinda kuelekea chini au pembeni ni kutokana na uvaaji wa chupi zinazobana (TMK WANAUME) au boxer za nylon zinazobana Sana ila kama ni kuelekea juu ni kutokana na style anazitumia wakati wa trndo pendwa
 
Back
Top Bottom