Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

kama nilivyo eleza hapo juu ndo hali halisi

ok ok sidhani kama itakuwa ni tatizo ingawa swali ni kwa kiasi gani umepinda????!!!

Kwa uhakika zaid mtafute daktari uzungumze naye maana inaonekana kama inakunyima raha na itakuja kukusumbua kweli kama hutaondoa hii hofu ambayo unaonekana unayo!!????

As a matter of fact wengi sana wana deflections to right,left,upward or down ward so sio tatizo


Ha ha haaaa ni matege tu kama ya miguu!!!!!
 
ha ha haa rafiki naomba kiporo cha Eid maana minecheka hadi njaa inauma eti pussytropism ha ha haa a
Ha ha haa, ndio zile phototropsim,geotropsim etc sasa ya huyu jamaa itakua PUSSYTROPISM
 

thanks i will work on it.
 
uwiii kingosho lol 'gravity ina nguvu' acha kuvaa chup za kubana
 
Kwa huko mbele funga kitu kama jiwe la nusu kilo halafu vaa kanzu kwa mwezi 1.hii ni njia rahisi na salama ya kutatua tatizo lako

Ni tiba au adhabu? Msaidien kijana kwa tiba ambazo zitampa imani ya kupona.ni ushauri tu.
 
Ndugu zangu mimi si mtabibu ila haya yote nayokwenda kuelezea nimeyaona kwenye vipindi hivi vya kitabibu. Kupinda kwa uume ni ugonjwa unaotokana na ajali kwenye misuli ya uume. Hii mara nyingi hutokea bila watu kujua au tunakuwa tunajua tumeumia ila tunapuuzia bila kujua madhara yake.

Sasa ni kwa nini uume huwa unapinda pale umaposimama? ni kutokana na misuli kwenye uume kuwa na kovu lilosababishwa na ajali uliyopata bila wewe kujua au kwa kupuuzia tu, hivyo ile sehemu yenye jelaha husabisha misuli kuishiwa na ule mvutiko wake. Kule uume unakopindia ndiko kwenye hiyo misuli yenye kovu. Hivyo huwa wanafanya upasuaji mdogo kuondoa hiyi sehemy yenye kovu na uume unarudi kwenye hali yake ya kawaida kabisa.
 
parking yako ya dudu ina mata sana, hizi pants zetu zinazobana ukizoea kukunjia kushoto kulia basi itapinda mkao huohuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…