Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Mkuu hapo umenitisha, kuna nini tena?

Mkuu grafani11 nafikiri mwenye ufunguo amekusikia ila hiyo ni kwamba chochote utakachokutana nacho kule usijilaumu kwa kuingia kule maana unaweza kujikuta mpango wako wa kando umeweka pivha mle au picha zako wewe mwenyewe zimebadikwa kule
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mpwa prosija za kwenda huko nazijua...ila huwa naamini hakuna geni nisilo lifahamu

Mkuu watu8 kama wewe ni mkristo Muhubiri kashasema mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo
hakuna jipya mkuu sana sana unaharibu siku yako tuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu grafani11 nafikiri mwenye ufunguo amekusikia ila hiyo ni kwamba chochote utakachokutana nacho kule usijilaumu kwa kuingia kule maana unaweza kujikuta mpango wako wa kando umeweka pivha mle au picha zako wewe mwenyewe zimebadikwa kule
Ngoja nikaone mwenyewe mkuu Rocky.
 
Last edited by a moderator:
ayayaya...cjui madhara yake kitabibu, ila cha kufanya nadhan kuvaa "msuli" na kuacha au kupunguza kuvaa nguo za kubana ni msaada mkubwa kwako.
 
ayayaya...cjui madhara yake kitabibu, ila cha kufanya nadhan kuvaa "msuli" na kuacha au kupunguza kuvaa nguo za kubana ni msaada mkubwa kwako.

thanks mapi nitaufanyia kazi ushauri wako
 
hahahaaaaa kama vipi mwambie nipo shemeji yake nije nimpe mambo na ya kwangu.!
Unachokitafuta kwa shemeji yako unaweza kukipata ila wakati unakipata kumbuka kujiandaa na wewe kuliwa chako.

Huwezi kula bila kuliwa. Source mzee wa Bagamoyo alipokuwa akifungua Bunge.
 
Kupinda kunaweza kukawa ni sababu ya mojawapo au yote ya haya nitakayoyataja hapa chini
1. Chupi
Kwa kawaida huwa tuna weka madushelele yetu upande mmoja.... kuna wanaoweka kushoto , akuna wanaoweka kulia... Matokeo yake dushelele inazowea huko na mwisho unakuwa huwezi badilisha... INAPINDIA KUELEKEA HUKO ULIKOISZOWESHA

2. Kutahiriwa
kwa wale waliotahiriwa na kushonwa, kuna watu wameachwa na ngozi kubwa upande mmoja, na upande mwingine imefutwa sana kiasi cha kuifanya dushelele ielekee upande uliovutwa sana ngozi...

Kwa mtazamo wangu, kupinda si ishu, na tena ikiwa imepinda au ina makirogesheni ndo inakuwa starehe kwa mwenzi wako... UMESHAWAHI KUJIULIZA, KWA NINI KONDOMU ZINAWEKA VIPELE..??? Huko ni kutafuta makorogesheni

KOROGESHENI Ndo nini?
 
Pole, hivi hakuna P.O.P zake?

Acha kuvaa kyupi kabisa wala boksa ili uwe unaning'inia, gravity ina nguvu sana.
halafu awe anafunga na kajiwe ka kilo tano hivi kwenye singo ya kichwa cha chini nadhani utanyooka tu maana mass yote itakuwa pulled toward the center
 
Back
Top Bottom