Tatizo la uume kusimama kila mara naomba msaada

Tatizo la uume kusimama kila mara naomba msaada

mwanaume kwa siku lazima asimamishe mara kadhaa, hata bila sexual stimulus yoyote..
 
mm ninavyojua mm uume kwa kawaida uwa unasimama kwa sana asubuhi au muda umelala...mchana usimama na kukaa bila kujishughulisha...upo upo tu...ila ni vizuri inakuwa akili ya kutafuta pesa...
 
Hahahahahaaaaa,pole sana,usimamishe uangalie juu then ufunge na mkanda wa suruali na uchomoe shati nje.....
 
Naomba msaada kwani sasa ni wiki ya tatu nilisafiri Sumbawanga kwa shughul za hapa na pale nilikuwa natumia vyakula vya asili.

Sasa toka nimerudi mjini napata tabu, Uume muda wote unasimama mpaka inakuwa fedheha mbele za watu.

Kwa mfano. Nikikaa sehemu yoyote haipiti dk.2 chuma kinainuka halafu kinakomaa balaa, sasa nikitaka kunyanyuka inakua mtihani najaribu kuipooza kwa kutovuta pumzi lakini wapi. Naomba msaada.

Asubuhi daladala limefika kituoni naogopa kushuka chuma kimekomaa hakipoi watu woote wameshuka nikazuga kama naumwa tumbo manake hata kusimama ingekuwa ni aibu!

Naomba msaada.

Dawa ya hiyo kitu ni mwanamke na sio vinginevyo!!
 
Back
Top Bottom