Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kitatokezea kitu kimevimba kwa mbele
Ukiwa unatoka nyumbani ufunge na kamba kwenye mapaja....sawa!? Case solved....next........
Naomba msaada kwani sasa ni wiki ya tatu nilisafiri Sumbawanga kwa shughul za hapa na pale nilikuwa natumia vyakula vya asili.
Sasa toka nimerudi mjini napata tabu, Uume muda wote unasimama mpaka inakuwa fedheha mbele za watu.
Kwa mfano. Nikikaa sehemu yoyote haipiti dk.2 chuma kinainuka halafu kinakomaa balaa, sasa nikitaka kunyanyuka inakua mtihani najaribu kuipooza kwa kutovuta pumzi lakini wapi. Naomba msaada.
Asubuhi daladala limefika kituoni naogopa kushuka chuma kimekomaa hakipoi watu woote wameshuka nikazuga kama naumwa tumbo manake hata kusimama ingekuwa ni aibu!
Naomba msaada.