Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Wanaume wengi wanalalamika sana mtu unapata shoo na unaingia gesti ili unachezea mtoto na ngoma inasimama ile unavaaa kondomu ngoma inasinyaa.
Hili limekuwa tatizo kubwa sana.
Hizi kondomu za siku hizi zina matatizo?
Hili limekuwa tatizo kubwa sana.
Hizi kondomu za siku hizi zina matatizo?