Tatizo la uume kusinyaa baada ya kuvaa kondom limekua sugu

Tatizo la uume kusinyaa baada ya kuvaa kondom limekua sugu

Wanaume wengi wanalalamika sana mtu unapata shoo na unaingia gesti ili unachezea mtoto na ngoma inasimama ile unavaaa kondomu ngoma inasinyaa.

Hili limekuwa tatizo kubwa sana.

Hizi kondomu za siku hizi zina matatizo?
Kabla ya shoo kunywa Power...utanikumbuka after 90mnts
 
Hivi kuna watu wanatumia ndomu, nashukuru nilitoka salama kwenye ujana maana ndomu inanikosesha burudani, ule mzigo unakuwa hauji kirahisi, naishia kuichomoa mbele ya safari.
Hakuna kitu kinaudhi kama kuanza na ndom halafu uje uichomoe katikati ya gem. Unaanza kujilaum sasa kwanini uliivaa mwanzoni?
 
Wanaume wengi wanalalamika sana mtu unapata shoo na unaingia gesti ili unachezea mtoto na ngoma inasimama ile unavaaa kondomu ngoma inasinyaa.

Hili limekuwa tatizo kubwa sana.

Hizi kondomu za siku hizi zina matatizo?
Tatizo linaniandama sanaa hili...

#YNWA
 
Nakushauri tafuta uso wa Mungu
Kisha oa mwanamke mmoja utulie nae, kisha ujenge familia nae. Achaneni na mambo ya kondomu hayo hayana msaada kabisa kwajili ya kizazi kijacho
Kuna mwimba injili wa Nigeria hukoo...
Kaimba sanaa injili kanisani, ila kafa kwa domestic violence.
Na source ni mumewe ambae ni Mzee wa kanisa.

Kwasisi tusiopenda stress acha tuzisugue mbunye.

#YNWA
 
Ni saikolojia ya huyo mvaa kondom.

Kuna imani ameshajijengea kichwani kwake kuwa, kondom inapunguza utamu. Kondom inaondoa ladha.

Imani hiyo ikijengeka mawazoni mwa mhusika, akivaa kondom lazima mjegeje unyong'onyee.

Cha kufanya, ondoa hayo mawazo na amini utamu ni ule ule. Raha ni ile ile. Iwe kavu au iwe kwa kondom. Lakini pia, waza kuwa kondom ni kwa usalama wako. Unajikinga na virusi. Mjegeje hata kama ulitaka kavu, itakubaliana tu na condom. Ngoma itasimama.
 
Hakuna kitu kinaudhi kama kuanza na ndom halafu uje uichomoe katikati ya gem. Unaanza kujilaum sasa kwanini uliivaa mwanzoni?
Shida ile burudani inakuwa haitoki(wazungu) unajikuta unauza mechi.
 
Wanaume wengi wanalalamika sana mtu unapata shoo na unaingia gesti ili unachezea mtoto na ngoma inasimama ile unavaaa kondomu ngoma inasinyaa.

Hili limekuwa tatizo kubwa sana.

Hizi kondomu za siku hizi zina matatizo?
Mimi pia hili tatizo lanisumbua sana,
 
Aahh aahh acheni chips chips,mambo ya udaga,maziwa karanga,dona mboga matunda,mazoezi au kazi za manual
Matatzo kama hayo utayasikia tu
Baada ya hapo kazi itapigwa tu
 
Wanaume wengi wanalalamika sana mtu unapata shoo na unaingia gesti ili unachezea mtoto na ngoma inasimama ile unavaaa kondomu ngoma inasinyaa.

Hili limekuwa tatizo kubwa sana.

Hizi kondomu za siku hizi zina matatizo?
Madhara ya puchu hayo au nenda hospital kwa vipimo. Sio kawaida.

Kitu kinapaswa kusimama 'ndiii' panapo show.
 
Labda zile za bei chee au zile za bure... hizi kuanzia rough rider kwenda mbele ni utamu mwanzo mwisho
Hivi mpaka leo hii bado kuna watu wanatumia hivi vitu!!? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tumshukuru Rais!
Lakini mkuu, hizo rough rider zinapatikana wapi na kwa bei ipi!!?
 
Hivi mpaka leo hii bado kuna watu wanatumia hivi vitu!!? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tumshukuru Rais!
Lakini mkuu, hizo rough rider zinapatikana wapi na kwa bei ipi!!?
Nenda madukani au pharmacy utapata
 
Wanaume wengi wanalalamika sana mtu unapata shoo na unaingia gesti ili unachezea mtoto na ngoma inasimama ile unavaaa kondomu ngoma inasinyaa.

Hili limekuwa tatizo kubwa sana.

Hizi kondomu za siku hizi zina matatizo?
Tatizo binafsi.Wengine gari zao za kushtuwa sasa likiwa limeshtuka linapata kikwazo basi tena.
 
Back
Top Bottom