Tuwe na uelewa zaidi.Swali la kujiuliza ni je, kwa nini iwe mikoa hiyo/wilaya hizo?
Misiba mingi inatokea Dar Es Salaam na kwingineko hivyo kusafirisha kuzika na wanapenda kuzika kwao labda iwe vinginevyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwe na uelewa zaidi.Swali la kujiuliza ni je, kwa nini iwe mikoa hiyo/wilaya hizo?
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 💯. Kuna ombwe kubwa la miongozo ya jinsi ya watu wanapougua, kulazwa na kufariki wanavyotakiwa kufanya. Na nakubali kabisa kuwa raia bila miongozo kutoka serikali hawawezi kufanya peke yao, na hii ni kwa dunia nzima siyo Tanzania tu. Ndiyo maana ya kuwa na serikali. Nyakati kama hizi ndiyo ilitakiwa kuongoza watu wakitumia wataalam. Na ndiyo maana tunalipa kodi.Mkuu:
"Pia sehemu nyingine za Tanzania ni suala la muda tu watasambaa kama watu wataendelea kupuuza masharti"
Hapa labda kama ni kuwapa kesi tu wasiohusika. Ungesema kama serikali itaendelea kupuuzia ungeeleweka.
Hili ni janga la taifa. Uwajibikaji wake hauwezi kuwa kwa matakwa ya watu binafsi, wakiwamo hata wale wenye nia ya kujitoa mhanga.
Afu watu wanaisi korona ni dhana tu. Ubaya mwingine watz wengi wanaamini ikifika siku yako imefika kwa hiyo wanakkufa ni halali kwaoKweli kabisa. Katika vitu ambavyo serikali imezembea ni kuweka mwongozo kuhusu mazishi. Juzi niliongea na jamaa yangu ananiambia yuko kwenye mazishi ya mama mmoja aliyefariki kwa covid. Watu wamejazana hakuna tahadhari
Kosa kubwa alilifanya mwendazake. Kuwalisha watu ujinga. Na mama naye naona yupo yupo tu. Bora liende.Afu watu wanaisi korona ni dhana tu. Ubaya mwingine watz wengi wanaamini ikifika siku yako imefika kwa hiyo wanakkufa ni halali kwao
Hatununui hizo chanjo, huo mkopo wa chanjo urudisheni kwa waliowatuma, hatuutaki. Ni lini misiba iliacha kuwepo hiyo mikoa?Dah! Taarifa za msiba zimekuwa nyingi sana. Kwanza naamini Watanzania wanakufa sababu ya uzembe na kujitakia wenyewe. Mtu anakufa kwa nimonia watu mnajazana msibani kwenda kuzika bila tahadhari yoyote unategemea nini hapo? Umeenda kuzika mara 3 je Disemba utaenda tena.
Mkoa wa Kilimanjaro wilaya zinazoongoza kwa misiba mpaka sasa
Rombo
Moshi (v)
Hai
Sina watu wa kunijuzi kuhusu wilaya nyingine
Nina marafiki kadha wengi sana wameshasafiri kwa ajili ya msiba wengine wamsafiri zaidi ya mara 3( kulingana na hali yake kiuchumi) safari zote kwenda kuzika.
Kulingana na marafiki walionizunguka mikoa hii inaongoza kwa vifo
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Mbeya
4. Dar es Salaam
Je, kwa mujibu wa marafiki, ndugu na jamaa zako ni mikoa mingapi unapata ripoti nyingi za misiba?
Tuchukue tahadhari, tuache mzaha
Yeah, na wewe hutakufa, utaishi miaka 100+Hao huwa hawasikii wataenda na kufa wengi wao watakufa na wengine wataisambaza nchi nzima.
Wawekewe karantin hao wachaga watulie kwao.
Group za ukoo kwa wiki moja misiba haipungui mitatu na michango inatakiwa.
Kwanini wewe usichukue tahadhari? Halafu hao wengine waache yawakute, y mnahangaika sana?!Kila mtu aokoe nafsi yake watu waache ubishi na mazoea.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 💯. Kuna ombwe kubwa la miongozo ya jinsi ya watu wanapougua, kulazwa na kufariki wanavyotakiwa kufanya. Na nakubali kabisa kuwa raia bila miongozo kutoka serikali hawawezi kufanya peke yao, na hii ni kwa dunia nzima siyo Tanzania tu. Ndiyo maana ya kuwa na serikali. Nyakati kama hizi ndiyo ilitakiwa kuongoza watu wakitumia wataalam. Na ndiyo maana tunalipa kodi.
Haya, hiyo mikoa uliyotaja, ni lini iliacha kuwa na misiba kila siku?Sijamaanisha ni hiyo tu ila ni kwa mujibu wa marafiki zangu,sina rafiki wa Dodoma ndio maana sijaitaja,sina mawasiliano na mtu wa Mwanza ndio maana sijui uzito wa huko. Ila huenda ikawa ni sehemu nyingi TANZANIA
Karantin Anza kuwekwa ww na ukoo wenuHao huwa hawasikii wataenda na kufa wengi wao watakufa na wengine wataisambaza nchi nzima.
Wawekewe karantin hao wachaga watulie kwao.
Group za ukoo kwa wiki moja misiba haipungui mitatu na michango inatakiwa.
Tumbili kabisa hao yaniTukisema 75% ya Watanzania ni wehu UV CCM wanakuja juu.
Ulikua huko ukajionea??? Hiz story za kijiwenBora serikali ingepiga marufuku kuzikana ili kupunguza hii kitu. Kama Rombo mochwari zilijaa karibu zote,tena maiti zimepandiana yan full vilio
Ukishajua ndio ufanyeje sasa? Si ujifungie ndani shida iko wapi?Wewe unadhani mikoa na wilaya anazoleta mleta mada ni exhaustive? Kwani yeye ndiye mwenye kanzidata kuu?
Mwenye kanzidata kuu ana nia ovu ya kuficha takwimu ili ukae ukijiuliza maswali hayo unayojiuliza yasiyokuwa na tija yoyote.
Endelea kujiuliza.
Bwana weee watu wanakaa wanaongezaRudia kusoma upya hiyo post
Tuma salamuKarantin Anza kuwekwa ww na ukoo wenu
Unafkir watu watakula njaa Kama wakifungiwa
Hapo ulipo ukiambiwa usitoke unafkir utaishije
Ukabli ndo mnauingiza taratibu nchi hii
Inakua Kama Kenya na mnavoonekana
Mtaleta mpaka udini
Sio lazima kila mtu aelewe nilichomaanisha.Kwanini wewe usichukue tahadhari? Halafu hao wengine waache yawakute, y mnahangaika sana?!