#COVID19 Tatizo la UVIKO-19: Mwaka huu Moshi kutaendeka kweli?

Swali la kujiuliza ni je, kwa nini iwe mikoa hiyo/wilaya hizo?
Tuwe na uelewa zaidi.
Misiba mingi inatokea Dar Es Salaam na kwingineko hivyo kusafirisha kuzika na wanapenda kuzika kwao labda iwe vinginevyo.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 💯. Kuna ombwe kubwa la miongozo ya jinsi ya watu wanapougua, kulazwa na kufariki wanavyotakiwa kufanya. Na nakubali kabisa kuwa raia bila miongozo kutoka serikali hawawezi kufanya peke yao, na hii ni kwa dunia nzima siyo Tanzania tu. Ndiyo maana ya kuwa na serikali. Nyakati kama hizi ndiyo ilitakiwa kuongoza watu wakitumia wataalam. Na ndiyo maana tunalipa kodi.
 
Kweli kabisa. Katika vitu ambavyo serikali imezembea ni kuweka mwongozo kuhusu mazishi. Juzi niliongea na jamaa yangu ananiambia yuko kwenye mazishi ya mama mmoja aliyefariki kwa covid. Watu wamejazana hakuna tahadhari
Afu watu wanaisi korona ni dhana tu. Ubaya mwingine watz wengi wanaamini ikifika siku yako imefika kwa hiyo wanakkufa ni halali kwao
 
Afu watu wanaisi korona ni dhana tu. Ubaya mwingine watz wengi wanaamini ikifika siku yako imefika kwa hiyo wanakkufa ni halali kwao
Kosa kubwa alilifanya mwendazake. Kuwalisha watu ujinga. Na mama naye naona yupo yupo tu. Bora liende.
 
Hatununui hizo chanjo, huo mkopo wa chanjo urudisheni kwa waliowatuma, hatuutaki. Ni lini misiba iliacha kuwepo hiyo mikoa?
 
Hao huwa hawasikii wataenda na kufa wengi wao watakufa na wengine wataisambaza nchi nzima.

Wawekewe karantin hao wachaga watulie kwao.

Group za ukoo kwa wiki moja misiba haipungui mitatu na michango inatakiwa.
Yeah, na wewe hutakufa, utaishi miaka 100+
 

Serikali yetu ndiyo hii hapa:


Iko busy Kisutu na Mbowe kwenye kesi isiyo na kichwa wa miguu. Iko busy na kuongeza kodi na tozo kwa wahanga hawa. Bado matibabu ya wagonjwa wa janga hili ni juu yao.

Inajiita serikali Sikivu:

 
Sijamaanisha ni hiyo tu ila ni kwa mujibu wa marafiki zangu,sina rafiki wa Dodoma ndio maana sijaitaja,sina mawasiliano na mtu wa Mwanza ndio maana sijui uzito wa huko. Ila huenda ikawa ni sehemu nyingi TANZANIA
Haya, hiyo mikoa uliyotaja, ni lini iliacha kuwa na misiba kila siku?
 
Hao huwa hawasikii wataenda na kufa wengi wao watakufa na wengine wataisambaza nchi nzima.

Wawekewe karantin hao wachaga watulie kwao.

Group za ukoo kwa wiki moja misiba haipungui mitatu na michango inatakiwa.
Karantin Anza kuwekwa ww na ukoo wenu
Unafkir watu watakula njaa Kama wakifungiwa
Hapo ulipo ukiambiwa usitoke unafkir utaishije

Ukabli ndo mnauingiza taratibu nchi hii
Inakua Kama Kenya na mnavoonekana
Mtaleta mpaka udini
 
Bora serikali ingepiga marufuku kuzikana ili kupunguza hii kitu. Kama Rombo mochwari zilijaa karibu zote,tena maiti zimepandiana yan full vilio
Ulikua huko ukajionea??? Hiz story za kijiwen
Sometimes mpunguze
 
Wewe unadhani mikoa na wilaya anazoleta mleta mada ni exhaustive? Kwani yeye ndiye mwenye kanzidata kuu?

Mwenye kanzidata kuu ana nia ovu ya kuficha takwimu ili ukae ukijiuliza maswali hayo unayojiuliza yasiyokuwa na tija yoyote.

Endelea kujiuliza.
Ukishajua ndio ufanyeje sasa? Si ujifungie ndani shida iko wapi?
 
Karantin Anza kuwekwa ww na ukoo wenu
Unafkir watu watakula njaa Kama wakifungiwa
Hapo ulipo ukiambiwa usitoke unafkir utaishije

Ukabli ndo mnauingiza taratibu nchi hii
Inakua Kama Kenya na mnavoonekana
Mtaleta mpaka udini
Tuma salamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…