kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Hongera mkuuNimepata chanjo leo.najihisi nipo salama kiasi fulani.
Dah! Taarifa za msiba zimekuwa nyingi sana. Kwanza naamini Watanzania wanakufa sababu ya uzembe na kujitakia wenyewe. Mtu anakufa kwa nimonia watu mnajazana msibani kwenda kuzika bila tahadhari yoyote unategemea nini hapo? Umeenda kuzika mara 3 je Disemba utaenda tena.
Mkoa wa Kilimanjaro wilaya zinazoongoza kwa misiba mpaka sasa
Rombo
Moshi (v)
Hai
Sina watu wa kunijuzi kuhusu wilaya nyingine
Nina marafiki kadha wengi sana wameshasafiri kwa ajili ya msiba wengine wamsafiri zaidi ya mara 3( kulingana na hali yake kiuchumi) safari zote kwenda kuzika.
Kulingana na marafiki walionizunguka mikoa hii inaongoza kwa vifo
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Mbeya
4. Dar es Salaam
Je, kwa mujibu wa marafiki, ndugu na jamaa zako ni mikoa mingapi unapata ripoti nyingi za misiba?
Tuchukue tahadhari, tuache mzaha
Kwanini sasa hivi kuna umuhimu wa chanjo,kwani serikali haikuona wakati wa JPM? Umeuliza swali la kijinga sana utadhani umenunua simu janaBwana weee watu wanakaa wanaongeza
Chumvi Kama ya kitenge
Inamaana serikali haion hili
C wangeshatoa maamuz
Serikali ikataze kabisa sababu wengine kama wamelogwa,wataenda tu na kukaa na bibi zao ili hali ilivyo mbayaHali mbaya iliyopo sasa labda ipungue vinginevyo ni kujitoa ufahamu kwenda kula Xmas na kusababisha misongamano chungu nzima na hivyo kuongeza idadi ya maambukizi na vifo.
Serikali ikataze kabisa sababu wengine kama wamelogwa,wataenda tu na kukaa na bibi zao ili hali ilivyo mbaya
Hali mbaya kasema nani?Serikali ikataze kabisa sababu wengine kama wamelogwa,wataenda tu na kukaa na bibi zao ili hali ilivyo mbaya
Kilimanjaro ipigwe lock-down...wakazi wa huko wasitoke wala kuingiaShida pia ipo kwenye usafiri wa umma. Msiba umetokea watu wanachangana kwenda na coster wakifika wanazika wanarudi na coster wakifika Dar wanapanda daladala tena hakuna cha level siti wanawaachia wangapi? Ndio mana huku tuendako ni kugumu zaidi