kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,615
- 1,805
[emoji12]Mkuu hiyo ni sehem gani ya mwili wako? Ni tako, kichwa au kidevu..!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12]Mkuu hiyo ni sehem gani ya mwili wako? Ni tako, kichwa au kidevu..!!??
Hiyo ni sehemu gani ya mwili? Mbona kuna tundu?msaada tafadhari nimekuwa nikisumbuka na aina ya vipere ambavyo uniwasha sana baada ya kunyoa nywele,na nahisi vinaongezeka kadri ninyoavyo....wataalamu ngozi .....tusaidiane ushauri..![]()
Siku mbili mfukululizo maji yasiingie kichwani! Kwa hiyo kuoga ni shingoni kushuka chini bas!!Pole sana,ili kuondokana na tatizo hilo la kuota vipele,epuka kuweka maji kabla na baada ya kunyoa ktk sehemu husika,Kwa mfano kama unanyoa kichwani kwa kutumia wembe au mashine japo wembe ndo una madhara zaidi waweza kupaka spirit au after shave lotion,baada ya hapo usitie maji kichwan kwa muda wa kama siku mbili mfululizo.Fanya hivyo kila unaponyoa,njia hii ni rahisi sana na gharama hazitumiki.
ndio sehemu ya kisogoni.....[emoji45]Hicho ni kichwa?
unapokuwa na shida mkuu....huna budi kujinyenyekeza....ili kila mtu ajitoe kukupa taarifa zenye kuleta tija.....[emoji120] [emoji120]Mkuu umenifurahisha Sana, maana pamoja na yote umejitahidi sana kumjibu kila mmoja hapa. Tena kiungwana mno. Hongera na endeleza hii hali. Mmekuwa adimu sana watu wa namna yako.
Nimekuelewa mkuu, ila sio kidevuni...kwa suala la ndevu sina shida...bandiko la picha ni sehemu ya kisogoni...ndio uniletea matokeo hayo baada ya kunyoa.Nyoa kufuata jinsi ndevu zilivyolala. Nyoa kila siku. Ukiacha basi kaa wiki 2 ndo unyoe na uendelee kila siku.
Tumia maji kulainisha ndevu kabla kunyoa. Pakaa na mapovu ya sabuni zisizo na marashi. Mbuni. Komoa. Mshindi. Jamaa. Kuku. Takasa. N.k.
Usitumie nguvu kunyoa. Usishindilie eti ili uwe smoooth sana. Nyoa kijuujuu km vile unapapasa .... ya mkeo unaempenda sanaaaa. Ukumbuke unanyoa kila siku.
Ukimaliza kunyoa usitumie madawa eti kuziba vitundu sjui nini nini huko. We nawa na maji safi yanaytiririka. Btw, uwe umenawa mikono kabla ya zoezi zima.
Usione procedure ndefu. Ukizoea ni tendo la dk 5 hadi 10 kila siku.
Ukiweza jaribu kisha njoo na mrejesho. Hasahasa hakikisha hutumii nguvu na unafata ulalo wa ndevu.
ok..poa..poa mkuu.....Hata kama si ndevu ushauri ni huohuo
sijaumia mkuu, huo ni mkunjo wa nyama za shingo eneo la kisogoni. Hali hiyo unitokea punde baada ya kunyoa,baadae vinapotea. Kama kuna tiba unaifahamu mkuu nielekeze tu.Juma chief Hapo kichwani umeumia na nini?
Btw, unatumia nini kunyolea? wembe au? Kuna dawa naweza kukuelekeza
Ni kisogoni mkuu....!!!..sio maeneo hayo uliyoyawaza. Naona image imekupeleka mbali..[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu hiyo ni sehem gani ya mwili wako? Ni tako, kichwa au kidevu..!!??
Kuna nywele za sehemu nyingi hizo ni nywele za wapi!!??msaada tafadhari nimekuwa nikisumbuka na aina ya vipere ambavyo uniwasha sana baada ya kunyoa nywele,na nahisi vinaongezeka kadri ninyoavyo....wataalamu ngozi .....tusaidiane ushauri..![]()
Usijali mkuu...hiyo ni sehemu ya kisogoni. Mkunjo huo ni nyama za shingo.Mkuu,
Kwanza pole sana kwa yanayo kusibu.
Kwani hiyo picha ulio iweka hapo, ni sehem gani ya mwili ulipo nyoa?
Maana sijaielewa hiyo picha kabisaaa, ingawa mada yako nimeielewa.
Natanguliza shukrani na samahani kwa kutoka nje ya mada.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
ni sehemu ya kisogoni mkuu.....tundu kiaje hapo...[emoji1] [emoji1]..??? .....rekebisha macho yako....mkuu na tafsiri ya..bongo yako.....Hiyo ni sehemu gani ya mwili? Mbona kuna tundu?
Nashkuru kwa maelekezo mkuu..Pole sana,ili kuondokana na tatizo hilo la kuota vipele,epuka kuweka maji kabla na baada ya kunyoa ktk sehemu husika,Kwa mfano kama unanyoa kichwani kwa kutumia wembe au mashine japo wembe ndo una madhara zaidi waweza kupaka spirit au after shave lotion,baada ya hapo usitie maji kichwan kwa muda wa kama siku mbili mfululizo.Fanya hivyo kila unaponyoa,njia hii ni rahisi sana na gharama hazitumiki.
Pole mkuu, na samahani kama nitakua nimekukwazausijali mkuu...hiyo ni sehemu ya kisogoni.......mkunjo huo ni nyama za shingo....
kisogoni mkuu......Kuna nywele za sehemu nyingi hizo ni nywele za wapi!!??