Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

Kama una connection na mtu anaishi USA Muombe akutafutie after shave razor bump inaitwa TEND SKIN kichupa cha blue, Nilikuwa na shida ya razor bump kila dawa ilishindikana, nikapata mfadhili wa hiyo kitu ikawa tiba. Sasa hivi natumia spirit za kawaida saloon na nipo powa.
Kama sina connection hiyo nafanyaje mkuu...[emoji45] [emoji45] [emoji45]? Kwani bongo hazipo hapa?
 
Jina Wa Leo.nimecheka sana huyu jamaa ni bonge LA MTU sasa kwa kichogo ana nyamanyama
ila sio bonge la mtu wa kihivyo lakini...mkuu..!!![emoji1] [emoji1] [emoji1] ....sema nyama za shingo zimejaa jaa kdg.
 
Pole sana...ushaur Wang nenda hospital wakachukue specimen kwenye usaha/pus wafanyee utafit yan culture/sensitivity + gram stain kujuwa ni jamii gan ya bacteria/fungal aliyepo apo maranyingi bacteria tunaye mpata baada ya utafit ni (staphylococcus aureus) inaonekana ni superficial infection.....pia watakupa na antibiotic za kutumia after culture/sensitivity +gram stain....utumiee kwa muda Wa week moja then uonee kama Luna maendeleo yoyotee.
nashkuru kwa ushauri wa kitaalamu mkuu.....[emoji120] [emoji120]
 
Inaitwa sanitaris clinic.. Iko ktk jengo la baraka tower. Ukipata TMJ. Maarufu kwa warioba. Ndugu zangu wawili walitibiwa pale wako poa. Mtaalam alidai ni matatizo ya tabia ya ngozi na sio bacteria.
poa..nashkuru kwa maelekezo kaka....[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
msaada tafadhari nimekuwa nikisumbuka na aina ya vipere ambavyo uniwasha sana baada ya kunyoa nywele,na nahisi vinaongezeka kadri ninyoavyo....wataalamu ngozi .....tusaidiane ushauri..
fb67a29b2bc6379009c4b258bf354c53.jpg
Hicho ni kichwa?
 
Nyoa kufuata jinsi ndevu zilivyolala. Nyoa kila siku. Ukiacha basi kaa wiki 2 ndo unyoe na uendelee kila siku.

Tumia maji kulainisha ndevu kabla kunyoa. Pakaa na mapovu ya sabuni zisizo na marashi. Mbuni. Komoa. Mshindi. Jamaa. Kuku. Takasa. N.k.

Usitumie nguvu kunyoa. Usishindilie eti ili uwe smoooth sana. Nyoa kijuujuu km vile unapapasa .... ya mkeo unaempenda sanaaaa. Ukumbuke unanyoa kila siku.

Ukimaliza kunyoa usitumie madawa eti kuziba vitundu sjui nini nini huko. We nawa na maji safi yanaytiririka. Btw, uwe umenawa mikono kabla ya zoezi zima.

Usione procedure ndefu. Ukizoea ni tendo la dk 5 hadi 10 kila siku.

Ukiweza jaribu kisha njoo na mrejesho. Hasahasa hakikisha hutumii nguvu na unafata ulalo wa ndevu.
 
Hata kama si ndevu ushauri ni huohuo
 
Mkuu....
Kwanza pole sana kwa yanayo kusibu.
Kwani hiyo picha ulio iweka hapo, ni sehem gani ya mwili ulipo nyoa?
Maana sijaielewa hiyo picha kabisaaa..... Ingawa mada yako nimeielewa.

Natanguliza shukrani na samahani kwa kutoka nje ya mada....
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom