Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

1472848067073.jpg
mkuu nimezipata hizo dawa wacha nianze kutumia
 
(1) caps cefadroxir 500mg bd - 6/7
(2) Tabs terbinefine 250mg od 10/7
(3) Gentelene C cream be 2/52
IKOPI KISHA PELEKA PHARMACY WATAKUPA HIZI DAWA THEN NITAKUWA NAENDELEA KUFATILIA HALI YAKO INBOX!!
Mkuu hizo dawa zinatuliza tu, ukishapona na kuacha, mapele yanarudi vile vile.
 
Msaada tafadhari nimekuwa nikisumbuka na aina ya vipere ambavyo uniwasha sana baada ya kunyoa nywele,na nahisi vinaongezeka kadri ninyoavyo. Wataalamu ngozi tusaidiane ushauri.
fb67a29b2bc6379009c4b258bf354c53.jpg
 
Unanyolea wembe butu wenye kutu kwa ubahili wako, kisha huzibi pores kwa sprit
 
msaada tafadhari nimekuwa nikisumbuka na aina ya vipere ambavyo uniwasha sana baada ya kunyoa nywele,na nahisi vinaongezeka kadri ninyoavyo....wataalamu ngozi .....tusaidiane ushauri..
fb67a29b2bc6379009c4b258bf354c53.jpg
Kuna clinic moja jina limenitoka. Iko baada ya hospital ya TMJ kama unaenda kawe. Nahisi yale maeneo yanaitwa kwa warioba. Kuna mtaalam wa ngozi anatibu iyo kitu simple kabisa. Nikikumbuka jina nitakuambia.
Kwann unamsemea ...? Kwan yeye ameshindwa kunijibu...?
 
msaada tafadhari nimekuwa nikisumbuka na aina ya vipere ambavyo uniwasha sana baada ya kunyoa nywele,na nahisi vinaongezeka kadri ninyoavyo....wataalamu ngozi .....tusaidiane ushauri..
fb67a29b2bc6379009c4b258bf354c53.jpg
Hiyo ni jamii fulani ya bakteria wamezidi na mafuta ni mengi sehemu ya kichwani ila subiri madoctory zaidi waje
 
Unanyolea wembe butu wenye kutu kwa ubahili wako, kisha huzibi pores kwa sprit
unakosea kuongea swaga hizo...mkuu,wembe ni bei gani kwa afya ya mwili..mpaka uwe bahili kutumia wembe butu??...au kwenda salon...??...
 
Kuna clinic moja jina limenitoka. Iko baada ya hospital ya TMJ kama unaenda kawe. Nahisi yale maeneo yanaitwa kwa warioba. Kuna mtaalam wa ngozi anatibu iyo kitu simple kabisa. Nikikumbuka jina nitakuambia.
ukikumbuka hiyo addres yote ya hiyo clinic nikumbuke kunijuza kaka.....
kuna watu walidharau tatizo kama hili naona walivyoharibu sehemu hiyo....
 
Back
Top Bottom