Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
KUWA NA VIPELE BAADA YA KUNYOA NYWELEWakuu nimekutana na wanaume wengi wenye hili TATIZO, baadhi nimefanyanao mahojiano lkn wengi wanasema hawajui chanzo wameshituka tu wapo hivyo shieeda Ni nini Kwa anayejua jamani mawazo, maoni au ushauri!
KWANINI TUNATOKEWA NA VIPELE BAADA YA KUNYOA?
tutajiuliza kwanza swali hili ivi ni kwanin watu kama wazungu waarabu na watu wa asia mara nying hawapati tatizo hili la mapele au vidonda baada ya kunyoa
ukichunguza utagundua ya kua sisi nywele zetu ni zenye kuji sokota au kujinyongorota
hivyo unapo nyoa na kukata mzizi wa nywele kabisa una jiweka katika hatar ya kupata mapeli
SABABU
Bahat mbaya hakuna alie wah kutufundisha namna ya kunyoa ndo maana utakuta mtu haoshi uso wala kichwa kwa maji ya moto KABLA YA KUNYOA kwa ajili ya kuua bacteria waliopo kwenye uso na kwenye kichwa ambapo mtu huyo akisha nyolewa bacteria hao huingia kwenye matundu hayo
ndo maana ukiwachunguza wazee wanao nyoa na viwembe hawana mapele maana wana jisafisha kabla ya kunyoa
Sasa Matundu hayo yanapo ingia bacteria huziba na pia ukinyoa nywele zote kwenye ngozi kumbuka nywele zetu ni za kujisokota hivyo nywele hujisokotea ndan kwa ndan ( ingrowing ) na huleta muwasho na uvimbe
sasa kwanin wale walio chonga nyuma hupata mapele mwisho wa siku
sababu ni kwamba ukisha nyoa ukapata vidonda ngozi hutoa (collagen) hii ni kwa ajili ya kurepair ngozi iliyo aribika hivyo unapo LINYOA tena lile jeraha unatengeneza hali ya ngozi kuvimbiana na kutengeneza kama uvimbe ( keloid scarring ) wa mfano wa alie katwa na wembe na ngozi yake ikipona hua ni yenye uvimbe maana ngozi hujirepair kama nilivyosema hapo awali
USHAURI
Unapo taka kunyoa ziwe ni nywele za chumban, kikwapan au popote hakikisha una jisafisha kwa maji ya moto kuondoa bacteria na kulainisha ngozi
asubuh unapo nawa uso hakikisha maji hayabaki kwenye kidevu maana nadhan kila mtu anajua mikono yake USIKU hujisika wapi hivyo unapo osha uso hakikisha maji yanatiririka yote chini kuondoa bacteria
Nyoa nywele kwa muelekeo wa nywele zako ili usizikate nywele zote kwan utafanya nywele kuto kutoka kwenye ngozi
kuna aina ya mafuta husaidia sana kulainisha na kusimamisha nywele unapakaa kabla hujanyoa na baada ya kunyoa ukipakaa huondosha msuguano unao pelekea mzizi wa nywele kunyolewa na pia huondoa mauvimbe tuliyo yaongelea uKihitaji hiyo Dawa Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169