Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,183
Kuna jiwe linaitwa shabu kama chumvi ya mawe hili linaondoa tatizo kabisa,unachovya kwenye maji na kupaka baada ya kunyoa.Saloon za wahindi mjini zote hutumia.
Shabu ni ile wanayotumia kuweka kwenye mbunye ili iwe tight?