bcsolution
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 394
- 177
Chukuwa kitunguu Saumu Ukitwange mpaka kiwe laini kisha Uchukuwe maji ya moto Uoshe sehemu zenye vipele Ufanye kama Unasugua
kaka asante kwa ushauri wa tiba, sasa hiyo tiba dozi yake ipoje? namaanisha nioshe kwa siku mara ngapi na kwa muda wa siku ngapi??? asanate sana MziziMkavu
Kitunguu saumu kiwe kimoja kizima maji ya kuweza kuosha sehemu yenye hivyo vipele na uwe unatumia Asubhi na jioni mpaka hapo utakapo pona.Dr, mchanganyiko unatakiwa uweje i.e uwiano wa maji na swaumu? Na upakaji ni kwa muda gan mkuu? MziziMkavu.
Ndugu yangu huu ugonjwa usije ukauchekea. Hivi vipele ni ugonjwa mkubwa na unajitaji matibabu ya madaktari wazuri hizi phamacy watakumalizia prsa yako bure na ninachokuomba ni wewe kuwahi kuutibu huu ugonjwa usje ukachelewa kwani hivyo vipele vinasambaa.habari wadau..
Katika kunyoa nywele kichwani imenitokea nimeota vijipele nyuma ya kichwa karibu na shingo. sasa kila nikienda pharmacy na dispensary wananipa dawa ambazo zimeshindwa kunisaidia. Hali hii imekuwa ikinikosesha raha sana, nimepanga kwenda hospitali kubwa lakini nimeona kabla sijaenda huko inawezekana kuna mtu akanipa ufumbuzi rahisi wa kuweza kutatua tatizo hili. Kwa yeyote mwenye ufumbuzi wa kuondoa vijipele hivyo naomba anisaidie.
Wasalaam
umepanga kwenda hospital. nenda mkuu humu utaombwa picha tu. cc mzizimkavu