mkuu dox nimetumia sana,lakini bado haikusaidia kitu.Kunywa dox kwa muda wa miezi miwili kila siku kimoja huo ugonjwa ulinisumbua sana lakini hatimaye baibai
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu dox nimetumia sana,lakini bado haikusaidia kitu.Kunywa dox kwa muda wa miezi miwili kila siku kimoja huo ugonjwa ulinisumbua sana lakini hatimaye baibai
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hyo Dox ni kifupi cha Dawa au hata me Nina tatizo kama La huyo jamaa hebu nieleweshe kidogoKunywa dox kwa muda wa miezi miwili kila siku kimoja huo ugonjwa ulinisumbua sana lakini hatimaye baibai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nina tatizo la ndevu kuotea ndani (ingrown hair) naomba msaada.Huu ugonjwa unatokana na fungus ambao wanakuwa super imposed by bacterial infection hivyo mgonjwa hatakiwi kukwangua nywele zote saluni kwani machine za kunyolea hupelekea maambukizi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine pia kunyoa nywele za kisogoni kuelekekea shingoni ni jambo linalochangia sana maambukizi ya ugonjwa huu...madereva wa magari na watu wanaofanya sana kazi za jasho hupata zaidi ugonjwa huu kwa kuwa jasho la kichwani likikutoka na likakaukia hupelekea maambukizi ya ugonjwa huu
Naomba mrejesho mkuu.View attachment 392551 mkuu nimezipata hizo dawa wacha nianze kutumia
Logic katika kuacha nyama zote ni nini? Eleza sababuTry this. acha kula nyama ya aina yoyote ile kwa 2wks. then rudisha majibu. usitumie dawa yoyote ile.
Kwa mby naipataje na inauzwajemkuu hii dawa sina hakika kama inapatikana tz ,lakini naweza kukusaidia ikakufika kama upo dar weka detail zako ama ni pm niangalie naweza vipi kukusaidia . karibu sana.
Vinyozi, vinyozi ni shiida. Mi nakumbuka 2006 ilikuwa moro baada ya kunyoa saloon moja hivi tatizo la vipele kichwani likaibuka. Nilitumia dawa kibao hola zaidi ya kupungua. Nimeacha red meat zote,soda soda wapiWakuu nimekutana na wanaume wengi wenye hili TATIZO, baadhi nimefanyanao mahojiano lkn wengi wanasema hawajui chanzo wameshituka tu wapo hivyo shieeda Ni nini Kwa anayejua jamani mawazo, maoni au ushauri!
Vinatafuna nywele haswaaHuyu Ni baadhi yao na anaafadhali lkn wengine inasikitisha!
Angalau naanza kupata mwelekeo,hapo regency huyo Dr. bingwa anaitwa naniAliniandikia dawa ya kupaka inaitwa candiderm cream na vidonge vya anti allergy kwa jina sivikumbuki nilikuwa nameza vinne kwa siku kwa muda siku 28. Pole Sana.
Kaka polesana.hivo vipele kwanza kabla hujaanza kupaka dawa yeyote lazima uvibinye.vinakuwa na tundu ambapo ndiko unywele unachomokea. Ukibinya kinatoa uchafu mweupe kama chunusi.ikibidi ukitoboe na pini.hapo lazima uwe na MTU wa kukubinya.alafu upake Dawa inaitwa Fucide.ukimaliza kupaka utasikia pana washa maana kwamba dawa imeingia.inauZwa sh/6500.utanipa majibu.Kaka naomba namba yako
Achana na mambo ya rasta jaribu kumsaidia mwenzako kwanzaMyTanzania, samahani natoka nje kidogo ya mada, kwanini lakini rasta hawaruhusu sehemu unayofanyia kazi?!
Habari wakuu..
Kuna tatizo la kutoka na vijiuvimbe vidogo vidogo kama vipele sehemu ya nyuma ya kichwa karibu na shingo. Kuna yeyote anayejua chanzo chake na dawa ya tatizo hilo? Naomba msaada wenu..
Vipi ulipona?Ahsante sana mkuu, ngoja niijaribu hii. Vimenisumbua sana huwa vinapotea then vinarudi tena!!
pole mkuu waone wataalamu wa ngozi kuna jamaa yangu nae aliupata ugonjwa kama huo yeye alienda hospitali akaandikiwa sindano kwa muda kama wa miezi mitatu alichoma mara tatu kama sijakosea now zimekauka na kashapona mara nyingi unasababishwa na bacteria huko masaluni tunapoenda kunyoa nywele hawazingatii usafi wa mashine zao zile hivyo tuwe waangalifu na hizi saluni zetu ikiwezekana kuwa na mashine yako ukienda kunyoa unaenda nayo unampa kinyozi anakunyoa na mashine yako..Nasumbuliwa sana na vipele kichwani kwa muda mrefu,vinawasha na kutoa majimaji.Nimetumia dawa za kupaka na kunywa lakini bado tatizo haliishi.Mara nyingi nikitumia dawa vinaisha lakini baada ya muda vinarudi tena.Nimepima afya kuhusu hili gonjwa letu nipo salama.Hivyo basi naombeni ushauri nitumie dawa gani ili niweze kupona.
Vipi mkuu ulifanikiwa kupata dawa/Nasumbuliwa sana na vipele kichwani kwa muda mrefu,vinawasha na kutoa majimaji.Nimetumia dawa za kupaka na kunywa lakini bado tatizo haliishi.Mara nyingi nikitumia dawa vinaisha lakini baada ya muda vinarudi tena.Nimepima afya kuhusu hili gonjwa letu nipo salama.Hivyo basi naombeni ushauri nitumie dawa gani ili niweze kupona.
Mkuu unapatikana wapi? hilo tatizo hata mimi ninalo.Nitafutie elfu 50000/- tu nikufahamishe dawa na akitokezea mwengine utatibu In shaa Allah.
Sent using Jamii Forums mobile app