Tatizo la vyumba vya madarasa limekwisha. Je, kuna walimu wa kutosha kufundisha wanafunzi watakaojaza madarasa hayo?

Halafu utasikia jobless waliozuiliwa ajira awamu ya tano wakakimbilia umachinga bado wanamsifu mwendazake
Bora mwendazake alijua kuwa hajawaajiri lakini aliwaruhusu machinga kufanya biashara kuliko huyo bi kidude kuwanyang'anya hiyo ajira ndogo waliyokuwa wameipata
 
Hivi icho kikundi chenu huwa mnalipwa?

Sent using Jamii Forums mobile ap
Kwani amesema uongo? Jpm alikuwa hajali kabisa ustawi wa watu. Aliondoa utaratibu mzuri alioweka jk wa kuajiri kila mwaka walimu wote. Akaleta utaratibu wake wa kudokoa Mara elfu tano nchi nzima. Jk alikuwaa anaajiri wote labda ukatae mwenyewe ajira
 
Aliye kuja kukazia kuiharibu hii nchi na watanzania ni magufuli baada ya kuleta siasa zake za uongo na unafiki kwa wananchi aliwazoesha kuwaimbia mapambio ya uongo na ulaghai na wananchi kwa vile wengi wao uwezo wa reasoning ni mdogo sana waka danganyika kweli kweli
 
Bora mwendazake alijua kuwa hajawaajiri lakini aliwaruhusu machinga kufanya biashara kuliko huyo bi kidude kuwanyang'anya hiyo ajira ndogo waliyokuwa wameipata
Kwani wamachinga wamezuiwa kufanya biashara? Msiwe waongo uharibifu wa wamachinga ulivuka mipaka lazima wapangwe muache ujinga
 
Mashuleni walimu hawatoshi. Walimu wako mtaani wanatafuta kazi.
Lakini wasi wasi wangu upo upande wa walimu? Je wanatosha kuweza kumudu idadi kubwa ya wanafunzi hao waliochaguliwa maelfu kwa maelfu tofauti na miaka mingine yote nchini?
 
Upo sahihi. Ukisoma comments za watanzania kwenye mitandao unashangaa sana? How comes vitu simple kuvielewa lakini wao huamini kwa namna tofauti. Imagine mtu anaamini kabisa kwamba Magufuli aliongoza nchi solely kwa kutumia mapato ya ndani bila kukopa fedha yoyote??? Tungekuwa na society ya ajabu sana kama JPM angetawala kwa miaka hiyo iliyokuwa ikisemwa na akina Ndugai.
 
Kuna mpuuzi mmoja alijikabidhi majukumu kwa wizi wa kura hakuajiri kabisa miaka mitano madarakani Wala hukutoa nyongeza ya mishahara lkn alipunguza watumishi kwa kisingizio Cha vyeti feki.
Tuko awamu ya sita,, hayo sisi hatujui
 
Kuna mpuuzi mmoja alijikabidhi majukumu kwa wizi wa kura hakuajiri kabisa miaka mitano madarakani Wala hukutoa nyongeza ya mishahara lkn alipunguza watumishi kwa kisingizio Cha vyeti feki.
Inaonekana unastress maana sio kwa uongo huu.
 
Hata walimu wakitosha utatafuta penye shida na shida hazijawahi kuisha. Kuna nyumba zao,vyoo,huduma like maji,umeme,maslahi,chakula,vifaa vya kufundishia,watoto wawe wa kufundishia,yaani huwezi ondoa kabisa kero ikaisha never in human history hata mbinguni shetani hakuridhika na ukuu wa malaika.
Is like in physics tunasema kuwa hakuna machine ambayo ni 100% efficiency yaani it can't happen kuna energy losses za kutosha.
Hata unapowasha taa unapoteza nguvu kuibofya switch.
Pia binadamu hajawahi ridhika even a single second.
Hata cr7 ama mesi Kuna vitu vinawasumbua na hawana amani sema tu they don't worry about money over Ila other things remain constant kama zilivyo kwako.
Pia ukishapata unachokitaka later unaboreka. Check uliyekuwa unampenda mpaka upo tayari kula vima yake ukishakaa naye like 2yrs unamuona wa kawaida na unaanza kuona chombo kingine nje kuwa ndicho Cha maana.
Hata Kama ungekuwa unaota kumiliki private jet utaimiliki na kula warembo wote duniani Ila later utaona hakuna Cha maana duniani kila kitu ni ubatili tupu.
Let me end here Ila mie ni Kama sibabaiki Sana na dunia.
Mana nimeshaona nothing is permanent
 
Muwe na shukrani wandugu , kwa nchi kubwa kama tanzania ambayo wananchi wake wanazaliana kama sungura huwezi kumaliza matatizo yote ila yanapo punguzwa tunashukuru
Ni kweli. Ila hatuwezi kusema yameisha.
 
WANACHOFANYA SERIKALI NI SIASA SIZIZOSAIDIA, HIYO GHALAMA WANGEWEKEZA KWENYE MTAALA MPYA INGESAIDIA SANA KWA VIZAZI VYA LEO NA KESHO.

1: MTAALA KWANZA
2: KISHA MAZINGIRA YA WALIMU
3: THEN MAJENGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…