Igweeeeee
Awali nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa kuhakikisha changamoto ya madarasa kwa shule zote za sekondari hapa nchi kubaki historia ifikapo tarehe 17 january 2022 siku shule zote zitakapofunguliwa.
Lakini wasi wasi wangu upo upande wa walimu? Je wanatosha kuweza kumudu idadi kubwa ya wanafunzi hao waliochaguliwa maelfu kwa maelfu tofauti na miaka mingine yote nchini?
Ifike muda sasa, kama serikali ilivyoamua kulisimamia swala la upungufu wa madarasa vivyo hivyo ilivalie njuga hili swala la walimu.
Serikali ihakikishe shule zote hizo zinawalimu wa kutosha masomo yote!
Happy New Year 2022
Hata walimu wakitosha utatafuta penye shida na shida hazijawahi kuisha. Kuna nyumba zao,vyoo,huduma like maji,umeme,maslahi,chakula,vifaa vya kufundishia,watoto wawe wa kufundishia,yaani huwezi ondoa kabisa kero ikaisha never in human history hata mbinguni shetani hakuridhika na ukuu wa malaika.
Is like in physics tunasema kuwa hakuna machine ambayo ni 100% efficiency yaani it can't happen kuna energy losses za kutosha.
Hata unapowasha taa unapoteza nguvu kuibofya switch.
Pia binadamu hajawahi ridhika even a single second.
Hata cr7 ama mesi Kuna vitu vinawasumbua na hawana amani sema tu they don't worry about money over Ila other things remain constant kama zilivyo kwako.
Pia ukishapata unachokitaka later unaboreka. Check uliyekuwa unampenda mpaka upo tayari kula vima yake ukishakaa naye like 2yrs unamuona wa kawaida na unaanza kuona chombo kingine nje kuwa ndicho Cha maana.
Hata Kama ungekuwa unaota kumiliki private jet utaimiliki na kula warembo wote duniani Ila later utaona hakuna Cha maana duniani kila kitu ni ubatili tupu.
Let me end here Ila mie ni Kama sibabaiki Sana na dunia.
Mana nimeshaona nothing is permanent