Tatizo la wabunge walio wengi wa CCM wanaamini majimbo ni mali yao binafsi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Huu utaratibu wa kujimilikisha majimbo siyo mzuri kabisa, jimbo ni mali ya wananchi wewe mbunge ni mtu wa kupita tu.

Unaweza kukuta mwanaCCM mwenye PhD ya Mlimani ameng'ang'ana na ubunge pamoja na kutumbuliwa na mwenyekiti wa chama chake bado anajiita yeye ni " mamba"......sasa sijui anayetishwa ni nani.

Wabunge heshimuni dhamana tulizowapa ubunge ni miaka mitano hakuna mwenye haki miliki kama Jesca au Kitila kwa mfano wametia nia jimbo fulani hiyo ni haki yao pasitokee " mjinga" yoyote wa kuwatisha.

Maendeleo hayana vyama!
 
Huu utaratibu wa kujimilikisha majimbo siyo mzuri kabisa, jimbo ni mali ya wananchi wewe mbunge ni mtu wa kupita tu.

Unaweza kukuta mwanaccm mwenye PhD ya Mlimani ameng'ang'ana na ubunge pamoja na kutumbuliwa na mwenyekiti wa chama chake bado anajiita yeye ni " mamba"......sasa sijui anayetishwa ni nani.

Yohana siyo wabunge tu, bahati mbaya hata Ccm wanaona majimbo , halmashauri, Bunge ,mahakama na hata taifa ni mali yao. Na ndiyo maana hawaoni aibu kumuondoa mtu njiani kwa njia yoyote .

Ni dhana iliyojengeka miaka mingi , na kuiondoa yahitaji effort kubwa. Nayo ianzie ndani

Odhis *
 
Bwashee siasa za Afrika ni tamu sana! Na madaraka pia kwa Afrika ni matamu sana! Watu wasingerogana, wasingeuwana, wasingetesana, kuumizana au kugoma kabisa kung'atuka kama wangekuwa hawafaidiki kupindukia.

Nani ambaye hataki aonekane kama mungu mtu hapa duniani!! Nani asiyependa kupata mshahara mkubwa na posho nono pasipo kutoka jasho!! Jaribu na wewe uone kama utakubali kirahisi kutoka.
 
Wanyama kama mmbwa ndio walikua wakipewa majina ya binadamu ila Leo binadamu ndio hujiita majina ya wanyama
 
Yule aliyeropoka leo bungeni Tarime Tarime haki ya nani tuna wabunge wapumbavu sana
Hii corona ilikuwa kipaumbele zaidi kulilia ubunge ambao huna hakika ya kuiona kesho Corona haina uchaguzi mbona hawaelewi hawa watu
 
Huu utaratibu wa kujimilikisha majimbo siyo mzuri kabisa, jimbo ni mali ya wananchi wewe mbunge ni mtu wa kupita tu.

Unaweza kukuta mwanaccm mwenye PhD ya Mlimani ameng'ang'ana na ubunge pamoja na kutumbuliwa na mwenyekiti wa chama chake bado anajiita yeye ni " mamba"......sasa sijui anayetishwa ni nani.

Wabunge heshimuni dhamana tulizowapa ubunge ni miaka mitano hakuna mwenye haki miliki kama Jesca au Kitila kwa mfano wametia nia jimbo fulani hiyo ni haki yao pasitokee " mjinga" yoyote wa kuwatisha.

Maendeleo hayana vyama!
Dalili kwamba mambo yameanza kuiva zimeanza kuonekana. Lakini mpaka mtu anajifananisha na mamba ujue anajiamini. Kwa mtu aliyekulia maeneo karibu na ziwa huyu ni mnyama wa kutisha.
Ila nina hisia kuwa johnthebaptist kuna mtu una mahaba nae. Maana jana umesifia yeye bado ni Permanent secretary na hajatumbuliwa. Unaweza ukawa hujatumbuliwa ila wananchi hawakutaki.
 
Yohana siyo wabunge tu, bahati mbaya hata Ccm wanaona majimbo , halmashauri, Bunge ,mahakama na hata taifa ni mali yao. Na ndiyo maana hawaoni aibu kumuondoa mtu njiani kwa njia yoyote .

Ni dhana iliyojengeka miaka mingi , na kuiondoa yahitaji effort kubwa. Nayo ianzie ndani

Odhis *
Omera, CCM ni taasisi ambayo imedhatiti vizuri kisiasa. Hivyo kuwa na mentality ya kutawala kwa muda mrefu sio jambo la ajabu. Wanafanya siasa kitalaamu na mikakati ya kushinda wanaijua. Na kinacho wasaidia ni misingi mizuri aliyoiacha Mwl Julius Nyerere. Hakuna ukabila wala ukanda. Chama kina mshikamano na umoja wenye nguvu. Kwa hapa Africa hamna Chama chenye nguvu kama CCM.
 
Huu utaratibu wa kujimilikisha majimbo siyo mzuri kabisa, jimbo ni mali ya wananchi wewe mbunge ni mtu wa kupita tu.

Unaweza kukuta mwanaccm mwenye PhD ya Mlimani ameng'ang'ana na ubunge pamoja na kutumbuliwa na mwenyekiti wa chama chake bado anajiita yeye ni " mamba"......sasa sijui anayetishwa ni nani.

Wabunge heshimuni dhamana tulizowapa ubunge ni miaka mitano hakuna mwenye haki miliki kama Jesca au Kitila kwa mfano wametia nia jimbo fulani hiyo ni haki yao pasitokee " mjinga" yoyote wa kuwatisha.

Maendeleo hayana vyama!
Wanaomtisha Mh. Dk. Tulia na Mbeya Mjini ni wana CCM? Au Mzee Mgaya anakunyima nondo siku hizi Bwashee!!!
 
Dalili kwamba mambo yameanza kuiva simeanza kuonekana. Lakini mpaka mtu anajifananisha na mamba ujue anajiamini. Kwa mtu aliyekulia maeneo karibu na ziwa huyu ni mnyama wa kutisha.
Ila nina hisia kuwa johnthebaptist kuna mtu una mahaba nae. Maana jana umesifia yeye bado ni Permanent secretary na hajatumbuliwa. Unaweza ukawa hujatumbuliwa ila wananchi hawakutaki.
Hakuna mbunge wa CCM ambaye wananchi wanamtaka wote wanatumia hadaa na " mzengwe"

Na huyo ambaye " hajatumbuliwa" atashinda Iramba tena bila chenga.......this time wanapitishwa wenye sifa ya kuweza kumsaidia Rais kwenye nafasi ya uwaziri hatuhitaji kuwatafuta akina Mwita Waitara kule upinzani!
 
Bwashee lakini unajua shughuli ya Mamba particularly akiwa kwenye kina kirefu....ohooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom