johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Yohana siyo wabunge tu, bahati mbaya hata Ccm wanaona majimbo , halmashauri, Bunge ,mahakama na hata taifa ni mali yao. Na ndiyo maana hawaoni aibu kumuondoa mtu njiani kwa njia yoyote .Huu utaratibu wa kujimilikisha majimbo siyo mzuri kabisa, jimbo ni mali ya wananchi wewe mbunge ni mtu wa kupita tu.
Unaweza kukuta mwanaccm mwenye PhD ya Mlimani ameng'ang'ana na ubunge pamoja na kutumbuliwa na mwenyekiti wa chama chake bado anajiita yeye ni " mamba"......sasa sijui anayetishwa ni nani.
Wabunge heshimuni dhamana tulizowapa ubunge ni miaka mitano hakuna mwenye haki miliki kama Jesca au Kitila kwa mfano wametia nia jimbo fulani hiyo ni haki yao pasitokee " mjinga" yoyote wa kuwatisha.
Maendeleo hayana vyama!
... tena mamba aliye kina kirefu!
Dalili kwamba mambo yameanza kuiva zimeanza kuonekana. Lakini mpaka mtu anajifananisha na mamba ujue anajiamini. Kwa mtu aliyekulia maeneo karibu na ziwa huyu ni mnyama wa kutisha.Huu utaratibu wa kujimilikisha majimbo siyo mzuri kabisa, jimbo ni mali ya wananchi wewe mbunge ni mtu wa kupita tu.
Unaweza kukuta mwanaccm mwenye PhD ya Mlimani ameng'ang'ana na ubunge pamoja na kutumbuliwa na mwenyekiti wa chama chake bado anajiita yeye ni " mamba"......sasa sijui anayetishwa ni nani.
Wabunge heshimuni dhamana tulizowapa ubunge ni miaka mitano hakuna mwenye haki miliki kama Jesca au Kitila kwa mfano wametia nia jimbo fulani hiyo ni haki yao pasitokee " mjinga" yoyote wa kuwatisha.
Maendeleo hayana vyama!
Omera, CCM ni taasisi ambayo imedhatiti vizuri kisiasa. Hivyo kuwa na mentality ya kutawala kwa muda mrefu sio jambo la ajabu. Wanafanya siasa kitalaamu na mikakati ya kushinda wanaijua. Na kinacho wasaidia ni misingi mizuri aliyoiacha Mwl Julius Nyerere. Hakuna ukabila wala ukanda. Chama kina mshikamano na umoja wenye nguvu. Kwa hapa Africa hamna Chama chenye nguvu kama CCM.Yohana siyo wabunge tu, bahati mbaya hata Ccm wanaona majimbo , halmashauri, Bunge ,mahakama na hata taifa ni mali yao. Na ndiyo maana hawaoni aibu kumuondoa mtu njiani kwa njia yoyote .
Ni dhana iliyojengeka miaka mingi , na kuiondoa yahitaji effort kubwa. Nayo ianzie ndani
Odhis *
Mbowe ni Mwamba Tuvushe!Mbowe Mugabe naye ni "MAMBA" kama unabisha jaribu kuonja "SUMU"!
Wanaomtisha Mh. Dk. Tulia na Mbeya Mjini ni wana CCM? Au Mzee Mgaya anakunyima nondo siku hizi Bwashee!!!Huu utaratibu wa kujimilikisha majimbo siyo mzuri kabisa, jimbo ni mali ya wananchi wewe mbunge ni mtu wa kupita tu.
Unaweza kukuta mwanaccm mwenye PhD ya Mlimani ameng'ang'ana na ubunge pamoja na kutumbuliwa na mwenyekiti wa chama chake bado anajiita yeye ni " mamba"......sasa sijui anayetishwa ni nani.
Wabunge heshimuni dhamana tulizowapa ubunge ni miaka mitano hakuna mwenye haki miliki kama Jesca au Kitila kwa mfano wametia nia jimbo fulani hiyo ni haki yao pasitokee " mjinga" yoyote wa kuwatisha.
Maendeleo hayana vyama!
Hakuna mbunge wa CCM ambaye wananchi wanamtaka wote wanatumia hadaa na " mzengwe"Dalili kwamba mambo yameanza kuiva simeanza kuonekana. Lakini mpaka mtu anajifananisha na mamba ujue anajiamini. Kwa mtu aliyekulia maeneo karibu na ziwa huyu ni mnyama wa kutisha.
Ila nina hisia kuwa johnthebaptist kuna mtu una mahaba nae. Maana jana umesifia yeye bado ni Permanent secretary na hajatumbuliwa. Unaweza ukawa hujatumbuliwa ila wananchi hawakutaki.
Bwashee lakini unajua shughuli ya Mamba particularly akiwa kwenye kina kirefu....ohoooHakuna mbunge wa CCM ambaye wananchi wanamtaka wote wanatumia hadaa na " mzengwe"
Na huyo ambaye " hajatumbuliwa" atashinda Iramba tena bila chenga.......this time wanapitishwa wenye sifa ya kuweza kumsaidia Rais kwenye nafasi ya uwaziri hatuhitaji kuwatafuta akina Mwita Waitara kule upinzani!