Tofautisha jamii ya kiislam na jamii ya waislam..wote wanapiga majungu ila jamii ya kiislamu imezidi kwa majungu na unafiq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofautisha jamii ya kiislam na jamii ya waislam..wote wanapiga majungu ila jamii ya kiislamu imezidi kwa majungu na unafiq
Maana hua wanasema aya zilishushwa, ukiwauliza zilishushwa wapi, yaliporomoshwa mafuko ya aya yenye handwriting ya Allah mwenyewe ama zilishushwa na winchi ama ziliteremshwa kwa namna gani? Utashangaa unaambiwa ziliteremshwa kwenye kichwa cha Mohamed, ambae hakua anakua kusoma wala kuandika, kwa hiyo baada ya kuteremshwa kwenye kichwa cha Mohamed, yeye akawa anamtajia mtu mwingine anaandika na Mohamed vile alikua hajui kusoma haakuna uhakika kama alichokua anakitaja ndio kiliandikwa ama ni kingine kwa sababu hakua na uwezo wa kusoma kujiridhisha kama alichokisema ndio kilichoandikwa. Unahitaji kua na akili ndogo sana kuweza kukubaliana na hizo hadithi.Ila nmecheka Astagafirulaah laana Tulah innlaalilah wa inlaliaah Rahi jun 😂😂 eti winch
hakuna unafiki hapoBora yetu sisi wakristo tunaoomba toba na baraka mbele ya mifuko miwili ya cement iliyochanganywa na kokoto ikapigwa rangi
View attachment 3255622
wote wale wale wanafiqTofautisha jamii ya kiislam na jamii ya waislam..
Kufa Sio Kimwili Tu Hata Kiroho Watu Hufa Pia.Kuna yule ustazi alimwambia afande sele atakufa ndani ya siku chache lakini mpaka leo afande anadunda.
Kisaikolojia Watu Hujisifu Kwa Tabia Wasizokuwa Nazo.waislamu ni wanafiq daraja la kwanza wakiwa sambamba na walokole
jamii walipo waislamu wengi ndio kuna majungu, uchonganishi, wivu na husda
wenyewe kwa wenyewe wanapendana kinafiq sana
wanahubiri mema wakati n wadhambi kinoma
mlokole na mwislamu wako daraja moja kwa unafiq, uchawi, husda, wivu na roho mbaya
WoteKwahiyo wataka kusema na nyinyi wote ni upinde au nitabia ya mtu
Ndio akili yako ilipoishiawote wale wale wanafiq
bora ingeishia hapa mimi sina akili kabisa ila waislamu na unafiq n mapacha (japo sio wote )Ndio akili yako ilipoishia
Ndio maana nasema wewe ni akili ndogobora ingeishia hapa mimi sina akili kabisa ila waislamu na unafiq n mapacha (japo sio wote )
soma saikolojia unavyo weza ila ukweli utasimama waislamu na walokole ni wanafiqKisaikolojia Watu Hujisifu Kwa Tabia Wasizokuwa Nazo.
Kwa Mantiki Hiyo Wewe Ndo Mwenye Hizo Tabia Kwani Unatuaminisha Na Kujisifu Kwamba Wewe Una Tabia Kinyume Na Hizo Na Hao Unaowatuhumu Hawana Hizo Tabia Ila Kutokana Na Wewe Kuwa Na Tabia Hizo Imepelekea Uwaone Waislamu Kwa Mtazamo Huo.
Zaidi Ni Kwamba Chuki Zitawauwa.
mkuu akili ndogo umenipendelea sina akili kabisa neno nalo fahamu na kuamini waislamu ni wanafiq kama alivyo eleza mtoa bandikoNdio maana nasema wewe ni akili ndogo
Sababu hata hilo neno nikikuuliza maana yake huijui basi tu ni ufupi wa akili na maarifa,kukaririshwa kikasuku
Ptuuu
Sasa kwani Hilo tatizo!? Hii ni Sunna!Sio kupelekea tu,wanafukua mitaro balaa na kunyonya vinyeo.,unafiki mtupu.
Hivi kwa nini Waislamu huwa hamna akili na wengi wenu ni masikini na wachawi? Au hiyo elimu ahera inawapumbaza akili?Ramadhani ni chuo cha uchamungu, Quran inasema fungeni Ili mpate uchamungu,maana ufunge ukitenda mema na kuacha mabaya,we unataka wafunge wakiendelea kutenda mabaya,kuhusu maendeleo ya miji ya waislam,nikukumbushe tu,dar, zanzibar,tanga ni miji ya waislam na imeendelea kuliko ileje,tukuyu,ubena,sumbawanga,na haijaendelea leo bali siku nyingi
Na huko arabuni kwenye waislam wengi zaidi kumeendelea kuliko kwenu
Ukiniambia mbeya,rukwa,mwanza, shinyanga, Mara hakuna waganga nitakukubalia kuwa waganga wengi waislam,lakini kuna uganga na uchawi,ulilenga kipi hasa ewe mkristu wa sumbawanga!?
Mwisho acha chuki za kijinga,kufunga afunge mwingine njaa usikie wewe, ukitaka na wewe funga
Wewe utakuwa mfuasi wa mudi unasubiri mabikra 72. Mudi aliwapiga fuksi mkajaa eti hamtaki elimu dunia bali mnataka elimu ahera wakati mnaishi dunianiSio kweli Hapa Bongo Wamiliki wa Vituo vya Mafuta Nchi Nzima 96% ni wao.
Wamiliki wa logistics, na vyombo vya usafiri 95% ni wao.
Miskiti majengo ya hadhi na thamani kubwa kuliko Kanisa lolote Tanzania yako Dar.
Hawa jamaa kuna namna Mungu wao anawabariki sana.
Wasanii waliobarikiwa utajiri wote ni wao.
Wachezaji wa mipira waliofanikiwa kwa Simna na Hanga ni wao.
Social influencers wenye mafanikio ya kiuchumi roughly 90% ni wao.
Lastly but not least..........wote ni wao.
Ukiona mtu ana imani na hicho kitabu cha mudi jua hana akili timamuAfunge mwingine achukie mwingine,inashangaza!!..unajua Quran inasema baadhi ya wakristu Wana chuki dhidi ya waislam..watu kama hawa hutuongezea imani juu ya Quran