Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Wakuu naomba tupeane mawazo kuhusiana na swala hili linalosumbua sana katika mahusiano.
Kumekuwa na tabia ya wanawake kuwanyima wenza wao unyumba kwa sababu tofauti, lakini kubwa zaidi tutazame sababu hii inayotokana na mwanaume kushindwa kutizimiza ahadi alizompa mwenziwe mfano; kumnunulia simu, nguo au vitu vyovyote kama zawadi.
Pengine mwanaume anakuwa na hali ya chini katika kipato chake ama sababu zozote zile zisizo za makusudi.
Je, kitendo hiki cha wanawake kuwanyima wapenzi wao mapenzi kwasababu ya wenza wao kuchelewa ama kushindwa kutimiza ahadi zao, kwa uelewa wako unakitafsiri kwa namna gani?
Je, wanawake hao wanaowanyima wenza wao mapenzi ni kweli wanamapenzi ya kweli ama wanathamini zawadi/mali kuliko waume zao?
Je, wewe mwanaume ukipatwa na tatizo hili utaendelea kuishi na huyo mwanamke ama utaachana naye?