Mh, jamani mi pia ilikuwa hivo, tumbo kuuma baada kufanya mapenzi ilishanitokea mara 4 katika vipindi tofauti kama kila baada ya miezi sita hv.
nilishafanya vipimo vya x-ray,damu, ultra sound, mkojo n.k hosp zaidi ya nne ikiwemo M'NYAMALA, KINONDONI, REGENCY Mpaka nilipofanya CT SCAN MUHIMBILI HOSP ndipo wakagundua kuna infection kwenye Kidole tumbo (appendix)
Ila wakasema haijafikia hatua ya operation, so nilipewa dawa. and now am doing fine.
sasa hv mama Mjengo anapata huduma bila wasi wasi.
Labda unaweza kujaribu nawe pia.
Thanks.