Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Initially inakuwa ni contact bleeding kama hivyo wakati wa sexual intercourse but in advanced stages of the disease bleeding can be continuous.Kansa ya kizazi huwa inasababisha MTU kutokwa damu mara tu unapogusa mlango wa kizazi, japo kuna sababu nyingine zinaweza kusababisha ni vizuri mkaenda hosp kwa ajili ya ushauri na vipimo zaidi
Haya, madaktari mje basi haswa waliosomea magonjwa ya wanawake pamoja na physiology of pampuchi.
Wanajf mimi nikimaliza kufanya tendo lililobarikiwa la ndoa,huwa nahisi sana maumivu ya kiuno na mgongo.Tatizo hili ni nini?Dawa ni nini?Msaada please!!!!!
"bia zangu umekunywa, chakula umekula, nauli umechukua nauliza utatoa hutoi"Show za "utatoahutoi?"
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]"bia zangu umekunywa, chakula umekula, nauli umechukua nauliza utatoa hutoi"
Lazma mgongo, kiuno na magoti viume
"bia zangu umekunywa, chakula umekula, nauli umechukua nauliza utatoa hutoi"
Lazma mgongo, kiuno na magoti viume