Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Kwa miezi sita sidhani kama nikweli.
Labda miaka thelathini!

Unachezea uke wewe? Uke unapitisha "kichwa cha mtoto" sembuse dushelele?

Hapa labda nachohisi ni uke kuwa mkavu!!!!


Ukweli ni kwamba mwanamke asiposex kwa muda mrefu njia yake/ uke hurudi (muscles zake zinasinyaa) na kurudi kukaribia ubikira na hata kama ataandaliwa lakn bado atahisi maumivu wakati ule muwa ukipasua mawimbi
 
Sijaona daktari hata moja hapa, ngoja nisepe. Jukwaa jf doktor, wana MMU wanajifanya madaktari, mwingine anabakia kusema nenda hospital, mwingine labda aliingiza goti, mwingine mpini utakuwa umepinda. Pumb.f. zenu
 
Habarn wanajf,

Nilikuwa mbali na mpenzi kwa karibu miezi sita (did'nt hv sex kwa kipindi chote hicho). Sasa amerudi juzi hapa tukakutana and sex. Though alikuwa anapata shida kidogo kuingia but since then huku kwabibi kunauma kama ndo nometoka kutolewa bikra. Is that normal?

nitashukuru kwa kunielimisha..

hongera kwa kukaa miezi sita bila kugongwa(kama ni kweli lakini).

je ndie huyohuyo aliyekutoa bikra, na ulifanya mara ngapi bada ya kutolewa bikra kabla jamaa hajasafiri?

kama ulifanya mara chache baada ya kutolewa bikra ni kawaida kusikia maumivu kwa sababu muda mrefu umepita bila kufanya.

Kama ulikuwa umekubuhu kwenye fani halafu unasikia maumivu nenda haraka sana hospitali.
 
Not normal, HUKUMLAINISHA akalainika vizuri.

1. Having soft music playing at the background
2. Next time do it slowly not in a speedikali as if your in a marathon competition (Atletic M vs Real M)
3. Mlo haukuwa na virutubisho vya kutoshaaaaa
4. nk
 
Nasubiri ushauri wa kidaktari niusome ila naona stori za kijiwen ki-mbwa mwitu
 
...niliwahi sikia mwanamke akikaa muda bila kukutana na mumewake hurudia hari kama ya mwanzo kabla ya mahusiano. Kama hakuna kingine itakuwa hivyo,vinginevyo ngoja madaktari waje. Ila ngono nje ya ndoa ni hatari hata kama ni mpenzi wako. Muoane kwanza...

Be real


In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Pole sana kwa maumivu mrembo! Hiyo hali ni ya kawaida, ni kutokana na kutoshiriki mda mrefu
mi sio dokta ila natumia uzoefu wa hayo masuala. Jamaa yako hakuwasiliana vizuri na mwili wako, yaan naweza sema hakuupalilli vizuri mwili wako na K yako!
 
Ni kawaida kwasababu hujamiiana kwa muda mrefu!jaribu kutumia lubricants na mwambie mwenza wako akutayarishe vizuri kbla ya tendo, baada ya muda misuli itazoea na hali ya kawaida itajirudia!
 
Ulipokaa miezi sita bila kukutana na bf mlikumbuka kupima su umemwamini tu?? Kama safari ume save kirusi basi nextime mnapitia kwanza kwa mshauri.

Hizi mambo hizi za kupata maambukizi ni Mungu atusaidie tuu corz mnaeza mkawa apart for even a day mwenzako akaukwaa kwenye michepuko au kwa means nyingine akakuletea kiulainiiii bila wote kujua so Mungu tuu atuepushie mbali.
 
Hizi mambo hizi za kupata maambukizi ni Mungu atusaidie tuu corz mnaeza mkawa apart for even a day mwenzako akaukwaa kwenye michepuko au kwa means nyingine akakuletea kiulainiiii bila wote kujua so Mungu tuu atuepushie mbali.

Kwa mtaji huu inabidi vya kupimia viwe pembeni ya kitanda au tutembee navyo kwenye wallet na mapochi muda wote.
 
Kwa mtaji huu inabidi vya kupimia viwe pembeni ya kitanda au tutembee navyo kwenye wallet na mapochi muda wote.

Hahahahaaa :sly: Yaan naona ingekua poa kweli mnajipima kama vile vipimo vya mimba ujue ni +ve au -ve mapema kabisa.
 
Habari zenu wakuu.

Kupata maumvu ya tumbo au kitovu pia pindi mwanamke anapofanya tendo la ndoa au sex je tatizo ni nini kwa mtu huyo.

Na je nini hafanye ili aweze kujiondoa katika tatizo hili.
 
Tatizo hili huwasumbua baadhi ya wanawake walio katika umri wa kuzaa, yaani kuanzia miaka 18 hadi 40. Tatizo huweza kuanza ghafla au taratibu pale mwanamke anapofanya tendo . Maumivu haya hutokana na hali ya mabadiliko ukeni ambapo uke huwa mkavu daima au mwanamke anapata vipindi vya ukavu ukeni na katika mlango wa kizazi pia husababisha tatizo hili .

Maumivu yanaweza kuwa ndani ya kizazi , yaani wakati wa tendo unahisi kuna kitu kinasukumwa na ukahisi maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kiuno wakati wa tendo . Maumivu pia yanaweza kutokea baada ya tendo la ndoa , mwanamke akafanya tendo la ndoa vizuri lakini anapomaliza tu akijigeuza anahisi maumivu chini ya kitovu na kiuno na wakati mwingine hata kichefuchefu.

Chanzo cha tatizo Tumeona vyanzo vitatu vya maumivu wakati wa tendo ambavyo ni ukavu ukeni. Huu unatokana na maandalizi hafifu kabla ya endapo hakuna maandalizi yoyote basi uke unakuwa mkavu na unashindwa kufanya tendo au linafanyika kwa nguvu . Ukavu unaweza kusababishwa na kutokuwa na hamu ya tendo au kutojisikia kufanya tendo , hili linaweza kusababishwa na matatizo ya kisaikolojia au katika mfumo wa homoni.

Michubuko ukeni na katika mdomo wa kizazi husababishwa na maambukizi , kansa au kufanya tendo la ndoa kwa nguvu bila maandalizi au ubakaji .

Maambukizi ukeni huambatana na kutokwa na uchafu wenye harufu na muwasho . Maambukizi yanaweza kusababishwa na fangasi, bakteria na magonjwa ya zinaa.

Maumivu ya ndani hutokana na maambukizi katika viungo vya uzazi mfano , ndani ya kizazi , mirija na vifuko vya mayai . Maambukizi haya huanzia ukeni na kusambaa hadi ndani ya kizazi , lakini pia yanaweza kuanzia kwa ndani hasa baada ya kuharibika au kutoa mimba . Dalili za tatizo Maumivu wakati wa tendo la ndoa yanaweza kuanza mara tu tendo linapoanza, au tendo linapoendelea. Vilevile maumivu yanaweza kutokea baada ya tendo kumalizika.

Mwanaume pia anaweza kupata maumivu wakati wa tendo au baada ya tendo kutokana na michubuko katika uume, matatizo katika misuli ya uume, maambukizi ndani ya njia ya mkojo na matatizo ya korodani. Maumivu ya kiuno kwa wanaume na wanawake pia ni mojawapo ya tatizo kubwa. Uchunguzi Tatizo hili la maumivu wakati wa tendo la ndoa huchunguzwa hospitali ambapo vipimo mbalimbali hufanyika kadiri daktari atakavyoona inafaa.

Vipimo vya kuangalia ukeni, damu , mkojo na Ultrasound hufanyika kutegemea na ukubwa wa tatizo. Ushauri Ni vema uwahi hospitali kwa uchunguzi wa kina na tiba.

Tatizo likiwa sugu yaani kukusumbua mara kwa mara husababisha upotevu wa hamu na raha ya tendo . Kwa mwanaume hata uwezo wa kufanya tendo la ndoa hupotea. Waone madaktari katika hospitali ya mkoa na wilaya kwa uchunguzi na tiba.
 
Habari ya mapumziko waungwana!

Nina mpenzi wangu wa kike anatatizo hili . Wakati wa tendo la ndoa huwa anasikia maumivu makali sana, hainjoi sex kabisa, ana lalamika muda wote.

Kabla ya tendo maandalizi yanakuwepo ya muda mrefu kama kawaida, hata wakati wa sex hawi mkavu kwamba ndo isababishe maumivu, lakini ndo hivyo anaumia sana. Dushelele langu ni la wastani inchi 6 za kawaida.

Wakati wa kusex anatokwa damu, lakini damu hiyo siyo nyekundu ni damu ile kama yupo kwenye Mp period.

Naomba msaada, hatuna ugonjwa wowote wa zinaa, kwamba ndo iwe sababu. Hamu ya tendo anayo ila ndo hivyo tukianza tu maumivu makali anapata.

NB: Tangu nimtoe bikra hii ni mara ya nne kukutana bado anaona yale maumivu na hiyo damu kutoka
 
Aisee nendeni hospitali, anyway labda ana uambukizo flani au kwa mbali hata kansa ya shingo ya kizazi. Watanzania tubadilike, tunapoona mabadiliko yoyote katika miili yetu tusichukulie poa lazima kwenda hospitali.
 
Back
Top Bottom