Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,114
- 4,486
Pole sana. Yaelekea katika pilika zako unatumia muda mwingi ukiwa umekaa kwenye kiti na hujihusishi na mazoezi mara kwa mara!
Tendo la kumwaga mbegu za uzazi linachukua nguvu nyingi zaidi ya zile ambazo ungetumia katika ubebaji wa roba moja la mpunga!
Jizoeshe jogging kila iwezekanavyo, kula mlo kamili wa asili ukiambatana na vinywaji visivyo chemicals.
Tibu tatizo lako kwa kujichua na mchanganyiko wa rojo ya asali+tangawizi+mizizi ya ndulele/mafuta ya nyonyo asubuhi na jioni mgongoni hadi kiunoni!