Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Mpenzi wangu ni mwanafunzi wa chuo hivyo huwa tunakutana wakati wa likizo tu, nimedumu nae kwa muda sasa na mimi ndio nilikuwa mwanaume wake wa kwanza lakini awamu hii alivyokuja mambo yamekuwq tofauti kwanza tulikubalina nae twende kwa dr. Akachome sindano kwajili ya kuzuia ujauzito na tulipoanza kufanya mapenzi mpenzi wangu alilalamika sana anaumia na kesho yake maumivu yalikuwa makali sana akawa analia mpaka tukashindwa malizia mechi kwa ufupi nilishangaa sana ile hali kwani hata kipindi nadate nae kwa mara ya kwanza hakulalamika kiasi kile.Wakuu naombeni ushauri kwani tunashndwa kuelewa tatizo yeye mwenyewe anabaki analia haelewi anafanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana ni chango
Au pengine ni maudhi ya sindano aliyochoma.

Pengine ni serious issue unaweza kwenda hospital ukapata uhakika zaida.

[emoji252] [emoji479]
 
Huyo keshapt mwingine, yupo hisialess

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa usipoangalia unaweza ukapotezwa mazima, mpeleke hospitali kwaajili ya uchunguzi wa kina!
 
Hujaeleza anapata maumivu wakati wa SEX AU AFTER SEX....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakua kawai kutoa mimba bila kusafishwa mkuu
 

hiyo inaitwa Dyspareunia inaweza kuwa Psychological au ana Pelvic Pathology kama Endometriosis au hata PID!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…